bei rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    KOROSHO KOROSHO KOROSHO TSHS 25,000 PER KGS GRADES NO. 1 DIRECTLY FROM MTWARA-TANDAHIMBA 0615326654(Whatsapp and Normal Calls)

    Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/= JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji...
  2. Foffana

    Kumbe kuna bando za bei rahisi hivi?

    Happy Valentine day Vincenzo Jr na shemeji yangu Huku halotel nimechelewa kweli aisee Zamani mtu unaunga bando la 500 unapata MB 246 ukiingia JF tu hata dakika 5 hauchukui, unaambiwa bando limeisha Leo ndo nimekuja kujua kuwa kumbe kuna zile special bundles aisee na sio kwa halotel tu hadi...
  3. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  4. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  5. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  6. JanguKamaJangu

    Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  7. chiembe

    Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
  8. S

    EPSON INKPAD ERROR Software kwa bei rahisi.

    karibu kwa huduma ya repair , service kwa machine zote ya photocopy na printer , pia huduma ya kureset inkpad error inapatikana mahali popote ulipo huduma inafanyika . +255621205202 karibu sana
  9. Morning Glory1

    PATA MLANGO MZURI WA PVC KWA BEI RAHISI NI 450,000 TU..

    Hii ofa huwezi kuipata sehemu yeyote..Njoo inbox nikufungie mlango mzuri wa uPVC kwa bei ya ofa Milango ya PVC ni mizuri kwa chooni na kwa ofisi yako na hata nyumban kwako. Ubora wake ni kwamba haupati kutu,hauna kelele,haushuki hata ukiutumia kwa miaka10..gurantee ni miaka10 Husipigwe tena...
  10. Mung Chris

    Mjihadhari na wanao tengeneza websites kwa bei rahisi

    Kama hana ofisi, hujui anapoishi basi huyo ni tapeli wa mjini. Wapo wakenya, watanzania na wa Nigeria. Wanatumia namba za nje ya nchi, wanatumia namba zisizo na usajili wa majina yao ila wako hapa nchini. Akikusajilia anamiliki acount ya usajili na hapo ndio pagumu anakuwa mmiliki. Hakupi...
  11. MaduhuJ

    INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  12. MaduhuJ

    Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  13. Smith Rowe

    Unazifahamu tv za kichina bei rahisi za GSDA?

    Tanzania salama tuachane nazo tuu. Wana jf naomba kuuliza nani anazifahamu vizuri au ameshawahi kuzitumia hizi tv za kichina za GSDA, uzuri wake na ujinga wake?
  14. stabilityman

    Nahitaji watu 10 niwauzie raman za nyumba kwa bei rahisi tu hamna haja ya kuumizana wote tujenge kwa ramani

    Raman hizi zote unazoziona hapa zina vyumba 2 vya kulala Nichek 0743 257 669 Natoa ofa kwa watu 10 tu niwape hizi raman Nina stock ya raman zaidi ya 500 na nachora nyingine mpya kila siku niletee oda yako Sitak Mtanzania ujenge bila raman ya nyumba Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe...
  15. Hharyson

    KAMA UNATAMANI KUJENGA GOROFA YA BEI RAHISI BATI USIHANGAIKE HII HAPA INAKUFAA 3BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 15X20M (WALE WENYE PLOT NDOGO PIA )

    LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN CALL US +255624004650
  16. jerry spare parts service

    Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

    Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa...
  17. MENGISINA

    NI WI-FI YA MTANDAO GANI INA BEI RAHISI TANZANIA

    Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
  18. K

    Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  19. Mayor of kingstown

    Anae itaji miche ya pilipili roleza kwa bei rahisi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Nauza miche 2000 ya pili pili aina ya loleza kwa bei ya mche mmoja tzsh 100 , ipo tayari kwa kupandwa na ime hudumiwa kwa mfumo wa kisasa Location Chamwino dodoma ( chamwino ya Ikulu)
  20. F35-Bomber

    DISCOVER 4 2015 BEI RAHISI

    2015 LAND ROVER DISCOVERY 4 SDV6 SE, 139,850 KM, U$ 20,000 Long range fuel tank, spare wheel carrier, 7 seater, navigation bar, Bluetooth, reverse camera, side steps, tow bar, high and low range, off road terrain responce, central locking Sun Roof,No mechanical issues,sold to the public as...
Back
Top Bottom