bei mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Debora

    JamiiForums Tanzania EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
  2. Memento

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa. Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania EWURA: Hifadhi ya Petrol ya iliyopo Tanzania ni ya siku 27, jiandaeni kwa bei mpya Jumanne Aprili 5, 2022

    Watanzania wametakiwa kukubaliana na hali halisi kuhusu bei mpya ya nishati ya mafuta ikiwemo Petrol, Diesel, Mafuta ya Taa na Ndege ambayo itatangazwa Jumanne ijayo Aprili 5, 2022 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kupanda...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZURA imetangaza bei mpya ya mafuta. Kuanza kutumika 09.03.2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumatano Tarehe 09/03/2022
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  7. kamituga

    JamiiForums Tanzania Bei mpya ya Bia inaanza lini rasmi?

    Wakuu tupeane mrejesho! Bunge letu tukufu lilipunguza bei ya kinywaji pendwa kwa Watanzania, sasa mpaka sasa hivi mwaka wa fedha mpya hatujapata bei mpya -- kulikoni?
Back
Top Bottom