MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza nalo.
Shetani ndio anapenda mambo ya sirini, kuficha ficha, kuziba watu midomo wasiseme mabaya yake...