Hongera sana wajelajela prisons kwa kuwa timu imara pindi inapopaki basi

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Nafikiri hakuna timu yoyote inayoweza kupaki basi dk 90 zote mbele ya yanga na ikahimili mashambulizi ya yanga kwa muda wote zaidi ya Tanzania prisons, Leo wamepaki basi lao na almanusura waokote alama kwa Mkapa, Pongezi nyingi kwa timu ya wananchi kuondoka na alama 3 muhimu licha ya upinzani mkali toka kwa prisons ambayo ilikuwa inacheza na wachezaji karibia 9 nyuma ya mpira.

N;B Wale wanaokaa kileleni kama status za whatsap tunawakumbusha ya kuwa safari ya unbeaten nyingine ndio imeanza rasmi.
 
Nafikiri akuna timu yoyote inayoweza kupaki basi dk 90 zote mbele ya yanga na ikahimili mashambulizi ya yanga kwa muda wote zaidi ya Tanzania prisons, Leo wamepaki basi lao na almanusura waokote alama kwa mkapa, Pongezi nyingi kwa timu ya wananchi kuondoka na alama 3 muhimu licha ya upinzani mkali toka kwa prisons ambayo ilikuwa inacheza na wachezaji karibia 9 nyuma ya mpira,

N;B Wale wanaokaa kileleni kama status za whatsap tunawakumbusha ya kuwa safari ya unbeaten nyingine ndio imeanza rasmi

Ndio nini?
 
Hadi dakika ya 85 kwenye vibandahumiza kulikuwa na harufu kali Sana za vinyesi . Sijui tatizo lilikuwa ni nini!! Chanzo bado hakijajukikana.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mimi nilikuwa nasikia harufu za unga unga fulani hivi kutoka kwa watu waliokuwa na jezi nyekundu uku mate yakiwatoka ovyo ovyo sikuelewa kwa haraka mpaka Fei toto alipofunga goli na wao wakapotea kama mzimu na kutokomea kusikojulikana
 
Back
Top Bottom