basi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama Joshua Mutale amegeuzwa joka la kibisa namna ile basi tujiandae hivyo hivyo kwa Elie Mpanzu

    Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati. Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda...
  2. JamiiForums Tanzania Hahaha.... Basi kama maono yangu yatatimia, big up FAM na TAL + CDM

    Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule. Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

    Kuna baadhi ya wanachama wamenza kuwa na wasiwasi kuwa Lisu anakipoteza Chama bora uongozi wa Mhe. Mbowe ulikuwa imara na madhubuti
  4. JamiiForums Tanzania Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

    Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
  5. JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba alishiriki kung'oa viti basi ni mpuuzi na anatakiwa aone aibu kwenda tena uwanjani

    Ulevi, bangi na elimu ya kukalilishwa ni tatizo kubwa kwa nchi yetu. Haiwezekani timu imeshinda halafu kuna watanzania wachache wapuuzi wanakimbilia kupigana na wageni tena kwa kung'oa viti ambavyo ni mali yao wenyewe. Mimi ni mwanasimba ninae miliki kadi ya uanachama ila upuuzi kama huu...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  7. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, waliopata ajali ya gari mkoani Dodoma wakati wakielekea kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanne ajali ya basi waruhusiwa, wengine wakiendelea na Matibabu Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH)

    Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu. Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Bora turudie mfumo wa chama kimoja tu (CCM) basi!

    Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
  11. JamiiForums Tanzania Afande Sele FT Mr. Nice - Mimi na wewe basi

    AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2 Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
  12. JamiiForums Tanzania Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  13. JamiiForums Tanzania Kondakta na Utingo wa Basi la Abood wakamatwa kwa kusafirisha bangi kwenye basi Mbeya

    Katika kipindi cha mwezi Novemba, 2024 jumla ya watuhumiwa wa makosa 97 wa makosa ya mauaji, kujeruhi, kupatikana na dawa za kulevya, kuingia nchini bila kibali na kupatikana na silaha bila kibali walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na oparesheni na misako. Novemba...
  14. JamiiForums Tanzania Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  15. JamiiForums Tanzania Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  16. JamiiForums Tanzania Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  18. JamiiForums Tanzania Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

    Ndugu zangu. 1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi...
  19. JamiiForums Tanzania We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…