bashite

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bentley Flying Spur Moja YA Expensive Sedan Kutoka kwa Mkoloni Anayopush Bashite

    Juzi Kati camera zime-mumulika Daudi akiwa kwenye Bentley Flying Spur, Moja ya expensive na full sized luxury sedan kutoka kwa Mkoloni huko Uingereza kwa Malikia.. . Kama wapiga kura tukaitolea macho kumchuzi huku tunawaza ukosefu wa madawati Shule Msingi Nyambitilwa kibondo, Tukapata tags za...
  2. Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  3. Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  4. Nakukumbusha PAUL MAKONDA (BASHITE ), Ulipotupwa nje na JPM, ulikesha kwa MAKADINALI , TEC kulinda Uhai wako, Leo unawadharau TEC, siku inakuja !!

    Wadharau sana Watanzania uwezavyo!. Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!. Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za Kila aina !!. Paul Makonda Sasa unafurahia Maisha, Bwana Bashiteee , Kijana wa mtandao ,Kijana wa wa...
  5. Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

    Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la...
  6. Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

    Iangalie hadi mwisho!
  7. Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  8. S

    Makonda (Bashite )anatumika kuhamisha mjadala wa gorofa kuporomoka Kariakoo

    Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya. Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
  9. S

    Makonda yupo sahihi kuwahenyesha maboss wilayani

    Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu. Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan. Wakuu wa taasisi...
  10. S

    Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

    Hii ni hint itayoelewaka kwa wenye akili na wafuatilaji wazuri wa siasa za Bongo. Ni mtazamo wangu kuwa,baada ya Bashite kuongea alichoongea, kulikuwa na reaction ya walioguswa lengo wasionekane wabaya kwa Mama. Kwa maana ya kwamba wamesingiziwa ingawa hakutaja mtu ila wanaotajwa wanajjulikana...
  11. Yako Wapi Sasa? Nilisema Paul Makonda (Bashite) ni Dekio tu Safari Imeanza

    Paul Makonda ni sikio la kufa lisilo na dawa, maisha ni haya haya Makonda atabaki kuwa ni Dekio tu, Hana hulka ya utulivu, Hana hulka ya staha na utii, Hana adabu, Hana heshima, Hana heshima ya umri. Hulka za kisukuma ni za kishamba sana, sasa mziki ndio umeanza taratibu ili Makonda ajue yeye...
  12. F

    Hivi nauliza CCM wamebadilisha utaratibu. Anayesikika ni Makonda tu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) tangia kilipoanzishwa,Kilikuwa na utaratibu mzuri tu.Kila aliyeteuliwa alikuwa akiheshimu madaraka ya mwenzie na pia kulikuwa na ustaarabu wa kutokimbilia ovyo kwa wananchi na kuwasema au kuwahoji viongozi wenzio wakiwemo mawaziri.walikuwa wanaitana kwenye vikao baina...
  13. Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

    Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD. Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha. https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s...
  14. Bashite, run quick, see…

    Come with me! Hail Mary, Bashite, run quick, see. What do we have here now? Do you wanna ride or die? La la-da-la la la la la https://www.jamiiforums.com/threads/when-you-lose.1603638/
  15. Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

    Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi. Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
  16. Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  17. Gereza hili linamfaa Bashite!

    Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" hatimaye mfalme amekua mtumwa mwenye hofu na wasiwasi. Toka asubuhi nimekua nawaza ngome/gereza lipi litamfaa huyu bwana Paul Bashite jibu ni gereza la Maweni Tanga akienda Ukonga pia sawa atakutana na kina Nsembo na wahanga wake wengi watalipa...
  18. Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

    ✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue.. ✓Ndugu Makonda ukiwa RC - DSM, unatuhumiwa kuongoza kundi la UGAIDI WA KIDOLA (State Sponsored...
  19. Paul Makonda ameghushi tena?!

    Wakati wa utawala wa Hayati Magufuli iliwahi kuibuliwa kashfa ya kughushi vyeti vya elimu ya sekondari kwa Paul Makonda. Paul akiwa mkuu wa mkoa wa mkoa nyeti sana alipata kashfa hii pasipo mamlaka ya uteuzi wala elimu kumshughulikia. Lakini tena limeibuka sakata la umiliki wa kiwanja kati yake...
  20. L

    Paulo Makonda huyoo ndani ya pipa

    Hamnipati ng'ooo.....labda mnitumie Interpol
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…