barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025. Soma: Bodi...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kulimwa barua ya onyo kali na Trump nayo yatoa vitisho

    Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Trump amlima barua ya onyo kali Ayatollah Khamenei!!

    Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran: "Mheshimiwa Ayatullah Khamenei, Kwa heshima ya nafasi yako na watu wa Iran, ninakuandikia ujumbe huu kwa lengo la kufungua upeo mpya wa mahusiano yetu, mbali na miaka ya migogoro na kutoelewana ambayo tumeshuhudia katika miongo kadhaa iliyopita. Wakati...
  4. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ofisi inayohusika na jambo hili

    Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana, Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

    Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Simba iandikieni tff barua kwamba yanga wapewe kombe hata wakitaka Leo ,sio shida zetu , point 3 zinazafutwa uwanjani sio mdomoni na kulialia

    Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
  8. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Naomba kuonyeshwa barua ya TPBL waliyowajibu Yanga kama haipo tuelezwe hatua walizochukuliwa waliozusha.

    Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine yasiyothibitishwa na Mamlaka. Leo tumeambiwa na wanaojiita wachambuzi kwamba Bodi ya Ligi imeijibu...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali

    TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo. Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli...
  10. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Azam media

    Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa. Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa...
  11. BigBro

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zelenskyy amwandikia barua Trump warudi meza ya mazungumzo

    Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake. CREDIT: Aljazeera
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  13. Soul21

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  15. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

    Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga. Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali. Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
  16. Sambare

    JamiiForums Tanzania Athari za mwajiriwa kutopitisha barua ya ajira kwa mwajiri wake

    Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili . Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa . 1.Je ispofanyika hivo Athari zake ni nini?
  17. realMamy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi documents kama barua nilizofuta mwezi uliopita kwenye simu

    Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana. Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi? Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp 😭😭😭😭
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni barua ya posa sample yake

    Nataka nitoe barua nikaoe sasa niachane na huyu anaenitesa bila taarifa nataka ashangae tu nmeoa mke mwngine Ili ajifunze zaid kwamba mwanaume ni mwanaume usishindane nae Kwahyo natarajia sample hapa za hizo barua maboss zangu Waadha salaam
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kwanini barua za kiofisi zinazotolewa public ziko kihuni, bila mhuri, bila sahihi?

    Huu uhuni tumeanza lini ? Barua ya Katibu Kiongozi inatoka haina mhuri haina signature ? Unajua hata nzi ameamua kua mhuni tu ndio maana anasambaza kipindupindu lakiji angeamua kua na akili angetengeneza asali kama mwenzie nyuki. T unaweza kuamua kua serious kidogo? Kidogo tu
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa

    Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa kushirikiana nawe mawazo ambayo yanaweza kukuimarisha katika safari yako ya maisha. Kwanza kabisa...
Back
Top Bottom