barani afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa maendeleo wa China na Afrika(CAD-Fund)wahimiza maendeleo ya pande zote barani Afrika

    Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika (CAD-Fund) ulianzishwa kwenye juni mwaka 2007, kwa lengo la kuitikia mahitaji ya ukosefu na fedha na uwekezaji kwenye miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika. Katika muda wa miaka 18 tangu kuanzishwa kwake, mfuko huo umetatua changamoto nyingi za kifedha...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China barani Afrika wapongezwa kwa kuleta matumaini kwa wagonjwa

    Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa, juhudi za Timu za Madaktari wa China katika kushughulikia masuala ya afya barani Afrika si jambo la...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika …. kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
  5. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika

    Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.? Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Malawi yaongoza kwa ulaji kitimoto barani Afrika, yashika namba 2 kwa idadi kubwa ya nguruwe takribani milioni 8

    Malawi 🇲🇼 has the highest per capita consumption of pork 🐖 in Africa estimated as 15.7 KGs/Person/Year That's an average of 300 Grammes of Pork every week The country also has the 2nd highest population of Pigs 🐖 in Africa estimated as 8 Million, just after Nigeria It ranks 21st in the world...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

    Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika. Jay...
  9. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo, mtakatishaji fedha maarufu barani Afrika alikuwa na agenda gani Ikulu jana (Agosti 12, 2025) kabla ya Harambee ya CCM?

    Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM. Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yahimiza maendeleo ya matumizi ya Akili Bandia barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni uwekezaji wa China katika miundombinu ya kidijitali, vituo vya data na nishati umekuwa ukiongezeka kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani. Wakati maendeleo ya matumizi ya akili bandia duniani yakipiga hatua na kufika kwenye miji ya Afrika, huku China ikiibuka kuwa...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme zapendelewa zaidi barani Afrika

    Katika bara la Afrika, pikipiki zimekuwa njia ya kujipatia riziki kwa zaidi ya watu milioni 5, jambo ambalo limetokana na ustawi wa biashara ya mtandaoni katika miaka ya hivi karibuni. Kufuatia mahitaji ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na maendeleo ya haraka ya teknolojia ya nishati...
  12. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Jinsi vyuo vikuu barani Afrika vilivyo poteza uhuru wao wa masomo

    Je, hali na hatima ya uhuru wa kitaaluma katika vyuo vikuu vya Afrika ikoje? Ni kwa jinsi gani na kwa nini vyuo vikuu barani Afrika vimepoteza uhuru wao wa masomo hapo kwanza? Je, ni aina gani zinazoendelea za mapambano na upinzani wa kurejesha uhuru wa kitaaluma katika elimu ya juu barani...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza Barani Afrika Wanafunzi wa Misri Wazindua Mpango wa “Diplomasia ya Afya”

    Kwa Mara ya Kwanza Barani Afrika Wanafunzi wa Misri Wazindua Mpango wa “Diplomasia ya Afya” Kairo ilishuhudia uzinduzi wa toleo la kwanza la Mpango wa “Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba”, ambao ni wa kwanza wa aina yake nchini Misri na Afrika, kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa...
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yaendelea kung'ara katika matibabu ya mifupa barani Afrika

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeemdelea kung’ara katika matibabu ya kibingwa na kibobezi za mifupa barani Afrika baada ya kuendelea kuandaa mafunzo ya 10 kuhusu mbinu mpya na za kisasa za matibabu ya majeraha na mifupa kwa wataalam barani Afrika kwa kushirikiana na Taasisi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Viongozi na Marais Matajiri zaidi Barani Afrika mwaka 2025

    Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika. Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
  17. Tanzanian kid

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Je, AI ni tishio au fursa kwa ajira za vijana barani Afrika?”

    "AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?" Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya… Lakini wapo...
  18. excel

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Mpira wa miguu wa kike Barani Afrika. Jionee Hazina ya Soka Upande wa Wanawake

    Naanza Na Tanzania
  19. HORSE POWER

    JamiiForums Tanzania First lady anayejitambua barani Afrika

    Fisrt lady (Mke wa Rais) wa Siera Leone, Fatma Maada mwaka jana alipokuwa akifanyiwa mahojiano alielza mambo mbalimbali ikiwemo kueleza kuwa yeye kama mke wa Rais si sehemu ya serikali ila anazungumza kwa niaba ya watu. Pamoja na hayo alieleza ni kwa namna gani Africa inaweza kujikomboa
  20. B

    JamiiForums Tanzania Thabit kombo: Ireland waichagua tanzania kuwa makao makuu yake ya kibiashara barani Afrika

    14 Mach 2025 Dar es Salaam, Tanzania IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0 Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
Back
Top Bottom