barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Usalama Barabarani Jiji Mwanza chukua Tahadhali Mapema

    Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Usalama Barabarani: Marufuku Trafiki na dereva kuzunguka nyuma ya gari

    Kutokana na malalamiko ya rushwa dhidi ya askari Polisi Usalama Barabarani (Trafiki), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku madereva kushuka na kuwafuata askari nyuma ya gari. Mutafungwa alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Gazeti la Mwangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti binafsi: Machi 2022 ajali za barabarani zimeua watu 56, Serikali chukueni hatua

    Leo ni Machi 30, 2022, imesalia siku moja tu kabla ya mwezi huu kufikia tamati, kwa ufupi unaweza kusema huu ni mwezi wa ajali, hiyo ni kutokana na matukio mengi kutoka mikoa tofauti. Matukio mengi ya ajali yametokea na kusababisha vifo, ulemavu na wengine kujeruhiwa hasa yakihusisha magari na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Matrafiki kukaa Barabarani kunasababisha maradhi ya Moyo na msongo wa mawazo kwa Madereva

    Jeshi la Polisi Tanzania Lina utaratibu la kuwapa vitendea kazi trafki yaani askari wa usalama barabarani vikiwemo Mashine ya Risiti na Tochi ya kukamatia waozidi mwendo wa 50 jambo ambalo ni tofauti na nchi za wenzetu ambapo trafiki wao hupewa Silaha, gari na nyenzo nyingine muhimu. Jambo hili...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana "aganda" barabarani Jijini Arusha mchana kweupe

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana ambaye jina lake halijafahamika mara moja, ameonekana amesimama katikati ya Barabara maeneo ya Metropol Jijini Arusha akiwa hawezi kutembea wala kufanya kitu chochote, leo Machi 11, 2022 Chanzo: Global TV
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iweke taa za barabarani katika majiji yote makubwa nchini

    Katika miji yote mikubwa utakuta taa za barabarani zipo barabara chache na nyingi Ni mbovu haziwaki na hakuna ukarabati wowote. Hakuna ufuatiliaji wala uongezwaji wa taa katika barabara kuu na halmashauri hazijishughulishi na hilo wanachojua wao mwisho wa mwezi uhakika basi imetoka hiyo. Jiji...
  8. JamiiForums Tanzania Jwtz inapaswa kuingiza vifaru barabarani kushinikiza umoja

    Wanataka kuunda serikali katika hali ambayo hawana umoja, hali ambayo wanachukiana sana.
  9. JamiiForums Tanzania KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  10. JamiiForums Tanzania Wilaya kigamboni nahisi kwa dsm inaweza ikawa ndio inaongoza kwa askali wa usalama barabarani na makamera

    Katika tambia yangu mkoa dsm kigambo nahisi ni mahali ambapo panaongoza kwa askari barabarani.yaani sijui kwanini maana mikoani tunahitaji pia maana mimi nipo musoma sijawahi kuona trafiki labda kuwe na jambo kigamboni nimekutana na camera 3 na sehemu zaidi ya 5 tumesikamishwa ebu mje mkoani pia...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ataka mitandao ya kijamii kutoa elimu usalama barabarani

    Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani. Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wahanga wakubwa wa ajali za barabarani

    Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari. Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wanaotukalisha barabarani ili misafara yao ipite hawajali wala kuheshimu muda wetu

    Thread was deleted
  14. JamiiForums Tanzania UN: Kila baada ya sekunde 24 mtu mmoja hufariki kwa ajali za barabarani

    Kila sekunde 24 mtu mmoja anakufa kwenye ajali ya barabarani! Ndivyo ulivyoanza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika maadhimisho ya leo ya siku ya kukumbuka waliopoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani. Katibu Mkuu anasema katika kuadhimisha...
  15. JamiiForums Tanzania 70% ya ajali za barabarani Zambia 🇿🇲 zinasababishwa na madereva waendeshao magari automatic

  16. JamiiForums Tanzania Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  17. JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

    Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu. Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
  19. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunashindwa kufuata sheria za barabarani?

    Wakuu nimekuwa najiuliza tuna shida gani sisi watumia barabara hasa kwenye mataa (Trafic lights). Mara nyingi nimeona taa zinaruhusu magari na wakati yanaanza kuondoka wanatokea watembea kwa miguu wanakatiza barabara ambayo ni hatari kwao. Pia nimeona baadhi ya wenye magari kusimamisha magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…