barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  4. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari. Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016) Nimekutana na ushahuda wa...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA? I. USULI “Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua kuwa hiyo si serikali nzuri. Serikali inayokataa kusikia sauti za watu wake inaelekea kwenye udikteta...
  6. Mussa Ramadhani Mussa

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani. Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

    Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu kila mtu afe na chake. Ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanaishaje? Tarehe 25 barabarani

    Yaani Samia na genge lako mnataka tu maandamano yaishe kirahisi rahisi tu? Wakati ujinga na upumbavu bado unaendelea? Maandamano yaishe Lissu akiwa bado gerezani? Maandamano yaishe Polepole akiwa bado anateswa kigamboni kwenye safehouse? Maandamano yaishe kesi na kamata kamata kwa Watanzania...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi

    Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi. Sasa wataanza kugomea biashara kwa mfano walivyogoma kuunga mkono wasanii wataanza kugomea biashara na mambo ya serikali ambayo ni ya uchumi. Kama wananchi hawana ushirikiano na serikali kuanzia vijijini mpaka mjini hilo pia ni...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  15. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano ya D9 yameshafanikiwa kwa 90%. Hata kama raia hawatatoka barabarani, lakini "Message Sent"

    Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!. Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya...
  16. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu huyu Samia kanikumbusha enzi hizo ndo nimeanza kuingia barabarani na chombo cha moto na nikapata ajali

    Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania UDSM main campus mliwekea taa za Barabarani kwa Msaada ila sasa zote zimekufa

    1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani kwa sasa kumekua hatari sana. Hivi Uongozi hapo wanaweza nini zaidi ya kununua Magari ya kifahari...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  19. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Naambiwa kwamba vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa kwanza ndipo wakaingia

    Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania usije ukakubali kupokea hela kutoka barabarani eti unamuunga mkono Samia.

    Hivi vimchezo vya madikteta tunavijua
Back
Top Bottom