barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania usije ukakubali kupokea hela kutoka barabarani eti unamuunga mkono Samia.

    Hivi vimchezo vya madikteta tunavijua
  2. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC, Futeni Uchaguzi vinginevyo tutarudi barabarani

    INEC wafute uchaguzi , vinginevyo tunarudi barabarani .. Maandamano yataishi nyumbani kwa WAMBURA na ABDUL
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM

    Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM. Kwani Sheria inasema? Je, nani atawanya nini?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

    Kauli thabiti: “Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano yamefanikiwa sio mpaka barabarani. Kitendo cha kila Kiongozi Kuimba maandamano ndio mafanikio yake

    Watawala ni muda kubadilika wenye mamlaka ya Mwisho ni Umma nguvu ya Umma haijawai kushindwa na Chochote Amiri Jeshi Mkuu Uwa anakimbia kupitia mlango wa Nyuma naomba watawala badilikeni Muda hauko Upende wenu jitafakari sana kitendo cha Nyie kuimba maadamno kuanzia Rais mpaka viongozi wote ni...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kumpiga dereva faini je amekuwa mahakama?

    Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi. Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Hauwezi kushika dola barabarani kwa maandamano

    KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM, uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema msingi wa...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, limethibitisha kutokea kwa vifo vya wanaume 4 ambao miili yao imekutwa pembezoni mwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha, ikiwa na majeraha usoni na miguuni huku ikadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 19 hadi 22, ambao walikuwa ni wakazi wa maeneo ya Dar es...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wakenya wajitokeza barabarani kumuomboleza Raila Odinga

  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askari wa majeshi mbalimbami wafanya mazoezi ya kujiimarisha barabarani

    Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi. Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

    Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya. Kapotea Ben Saanane wapo kimya. Kapotea Azory Gwanda wapo kimya. Orodha ni ndefu sana.... Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni

    Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni, Sisi tutawapa kura za kutosha kama wanavyotaka.
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  16. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  17. S

    JamiiForums Tanzania Gari anayotumia mtoto wa Mwigulu ndiyo inayonifanya tarehe 29/10 nikafie barabarani kwenye maandamano

    Kitoto kina miaka 12 lkn kinasukumwa kwenye ndinga ya milioni 500 kina dereva na mlinzi pembeni. Kodi zetu zinatapanywa kwa maslahi ya wachache. Shubamiti!!! Potelea pwete, kifo kiliumbwa. Nisipokufa kwenye maandamano nitakaifa kwa ajali ama nitakufa usingizini. Tarehe 29 0ctober tutakinukisha!
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  20. M

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
Back
Top Bottom