barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke atembea barabarani aanguka na kufa bonde la Msimbazi

    Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu. Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding. Basi watu wakakasirika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ungana na mimi kwenye kundi la climate change activist tukalale barabarani

    Mzuka Wanajamvi! Tusipochukua hatua leo na sasa hivi vizazi vijavyo havitatusamehe kabisa. Amkeni sasa hivi na muungane na mimi leo asubuhi kwenye kundi letu la climate change activists la just stop oil na extinction rebellion. Bila uwoga tukalale na kukakaa barabarani kuelekea magogoni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

    Wakuu vipi? Baada ya kusoma Points za huyu jamaa hapa https://www.jamiiforums.com/threads/shuleni-inabidi-waanze-kutoa-somo-la-namna-ya-kutongoza-ubakaji-na-ulawiti-kwa-watoto-wadogo-vimezidi.1989067/ Na baada ya kuona Malalamiko kama haya...
  5. JamiiForums Tanzania Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

    Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki. Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

    Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa. ITV === Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
  7. JamiiForums Tanzania Warusi waingia barabarani kupinga ulazimishaji wa kwenda kupigana

    Mpaka sasa wamekamatwa 525 kwenye maandamano ya kupinga hiki anachokiita "mobilization" ya Warusi kwenda kupigana na kainchi ka-Ukraine... Several hundred people have been detained across Russia on Wednesday as rallies against a military mobilization declared by President Vladimir Putin for the...
  8. JamiiForums Tanzania Raia wa Armenia waingia barabarani wakiagiza nchi yao iondoke kwenye muungano na Urusi

    Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale. ========== Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty...
  9. JamiiForums Tanzania Taa zikisharuhusu magari yaende, dereva hatakiwi tena kusimama kwenye zebra. Mtembea kwa miguu asubiri taa yake

    Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8). Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
  10. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Dah! Wananchi wajipanga barabarani kulaki jeshi lao la Ukraine, walikua utumwani yaani

    Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya Kinana iliwaondoa polisi barabarani, kauli ya nani itakuja kuondoa Tozo?

    Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read their minds. Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani

    Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
  15. R

    JamiiForums Tanzania Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  16. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza/kumaliza ajali barabarani?

    Hapa nakaribisha michango ya namna ya kupunguza/kumaliza ajali barabarani. Nategemea kupata mawazo mapya na yanayotekelezeka. Angalizo, faini kubwa haiwezi kuzuia ajali! 1. Kuhusu mwendo kasi hasa wa mabasi ya abiria, nafikiria kuangaliwe utaratibu wa kupunguza mabasi mengi ya njia moja...
  17. JamiiForums Tanzania Korogwe: Gari ya marehemu imetelekezwa barabarani

    Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe. Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali barabarani linahusiana na kauli ya kuondoa trafiki barabarani?

    Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka. Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…