barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO TANROADS imeridhia ujenzi huu eneo la barabarani karibu na Ofisi ya DC Ubungo?

    Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni. Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
  2. A

    KERO Trafiki wamekuwa wengi sana barabarani kupiga faini hadi kero, kwani nini kinaendelea Dar?

    Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine. Ukienda mbele kwenye...
  3. L

    Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  4. A

    KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

    Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
  5. figganigga

    Ukikamatwa na Afisa wa LATRA barabarani, tulia kama unanyolewa. Sheria imewapa nguvu sana

    Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma. Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka. Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua. Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
  6. O

    E-Kesi Barabarani: Kenya Yazindua 'Instant Fines' System ya Traffic

    Serikali, through NTSA, imeanza digital traffic enforcement system mpya inayotumia smart cameras kukamata makosa barabarani. Kama umeenda kasi, hukufunga seatbelt, au umevuka lane ovyo, system itakurekodi instantly na kukutumia SMS notification ikiwa na details za offence na fine unayotakiwa...
  7. M

    Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

    "Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
  8. 888I

    Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  9. A

    DOKEZO Hai: Mwekezaji kijiji cha Mbosho, Kata ya Masama Kati amepanda uzio wa miba uliosogea barabarani na kupelekea njia kuwa nyembamba

    TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA) Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi barabarani. Barabara imekuwa nyembamba kiasi kwamba hata magari mawili au bajaji hayawezi kupishana...
  10. MK254

    Wananchi wa Iran waanza kuingia barabarani kusheherekea ukombozi baada ya kifo cha Ayatollah

    Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa. End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
  11. Roving Journalist

    Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  12. mcTobby

    Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  13. BabaMorgan

    Saikolojia kwanini watu wanaondesha brand za magari yanayofanana wanakuwa na tabia zinazofanana

    Unakuta gari fulani wamiliki wake ni walevi kinoma ukienda kwenye kumbi za starehe unazikuta kibao zimepaki na wanajuana wakikutana stori zao ni bata na kufuta kisahani. Ukiwa road ukakutana na bike ya Sinoray kaa kijanja Hao ni machalii wa chuga wazee wa michezo muda wowote anakuchomekea...
  14. JanguKamaJangu

    Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  15. MakinikiA

    Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  16. A

    KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  17. PureView zeiss

    Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari. Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016) Nimekutana na ushahuda wa...
  18. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA? I. USULI “Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua kuwa hiyo si serikali nzuri. Serikali inayokataa kusikia sauti za watu wake inaelekea kwenye udikteta...
  19. Mussa Ramadhani Mussa

    KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani. Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
  20. Scared

    Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

    Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu kila mtu afe na chake. Ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo...
Back
Top Bottom