A
Anonymous
Guest
Kisarawe2 barabara tuliahidiwa barabara itatengenezwa ila toka wasitishe mwezi wa pili mpaka sasa barabara imeharibika.
Isitoshe hio, wamekataza magari makubwa kupitia njia ya Geza, kwa hiyo magari yote yanaharibu njia ya Vumilia Ukooni tunashindwa kufika makwetu sio kwa gari wala boda. Inabidi tufikirie kuacha magari sheli za karibu kama asam ndo tutafute usafiri na njia za panya.
Inachoshangaza kuna viwanda vikubwa sana huku kama cha GSM ila hawazingatiwi.
Ukiachana na sisi wananchi basi wawekezaji wenye viwanda, magari yao yanafikaje viwandani kama yanakwam yote kwenye matope makali. Tutaishije hivi.
Kisarawe2, Vumilia Ukooni mtutengenezee barabara