Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo.
Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri.
Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...