barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mlowo - Kamsamba (Momba) sasa kuwekwa katika mikakati ya kujengwa kwa kiwango cha Lami

    JIMBO LA MOMBA KUNUFAIKA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepanga kujenga miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami katika Jimbo la Momba...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula umesema vema kuhusu uwanja wa ndege Mwanza na barabara kuu njia nne

    Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake. Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

  4. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Barabara ya Musoma - Makojo - Busekera 2023/2024

    SERIKALI KUJENGA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA KWA AWAMU MBILI (Bajeti ya Wizara ya Ujenzi & Uchukuzi, 2023/2024) Urefu wa barabara Kilomita 92 Sehemu zenye lami Musoma Mjini-Buhare: km 5.9 (Eneo lote hili liko ndani ya Manispaa ya Mji wa Musoma) Kusenyi-Kwikonero: km 5 (Eneo lote hili...
  5. JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  6. JamiiForums Tanzania Kigoma: Tundu Lissu adai Barabara za Kigoma zilitelekezwa, zajengwa baada ya Phillipo Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa huo ulitelekezwa kwa miaka mingi kwenye ujenzi wa barabara. Hata hivyo mara baada ya Dr Mpango kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Manyara: Ujenzi wa Barabara ya lami ya km 25 kutoka Labbay hadi Haydom sasa unaanza rasmi

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kujenga kwa kiwango cha lami miradi mitatu mikubwa ya barabara mkoani Manyara ambayo itaunganisha mkoa huo na mikoa ya Jirani. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema hayo leo tarehe 19 Mei 2023 mji...
  8. JamiiForums Tanzania Eng: Rogatus Mativila akielezea Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa Barabara nchini pamoja na kupendezesha miji yetu

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara za Jimbo la Kiteto kujengwa kwa kiwango cha lami

    JIMBO LA KITETO - EDWARD OLE LEKAITA TAARIFA MAALUM KUHUSU UJENZI BARABARA ZA LAMI BARABARA KONGWA - KITETO- SIMANJIRO- ARUSHA KM 453 BARABARA HANDENI - KITETO- NCHEMBA - SINGIDA KM 460 Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto najua wengi wenu mmekuwa mnanipigia simu kuhusu Ujenzi wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufungaji holela wa barabara jijini Dar

    Jeshi letu la polisis kupitia askari wa usalama wa barabarani wamekua ni chanzo cha usumbufu barabarani. Eneo la Mbezi Tangi bovu / shule kwa muda mrefu sasa nyakati za asubuhi, polisi wamekuwa wakifunga barabara(service road) kiholela bila vibao au tahadhari yoyote kwa watumiaji wa barabara...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  14. JamiiForums Tanzania Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

    Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua. Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubovu wa Barabara ya Mbagala - Mbande ni kitegauchumi

    Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi. Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa mfano kipindi hiki cha masika wamechonga kabla mvua hazijaisha imechongwa tena na tayari imeshaharibika...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Tengeneza mamilioni kwa urahisi kila unapokuwa kwenye foleni ndefu ya barabara za jiji la Dar

    Dare es salama jiji lenye joto kali na foleni ndefu nyakati za mchana karibu kwenye barabara zote. Sasa unapokutwa changamoto hii wala usiwe na shaka unachokiwa kufanya ni kuchukua simu yako na kuingia mtandaoni huku ukisubiri foleni ipungue na huko unaweza jiongea wafuasi ushwawishi pamoja...
  17. JamiiForums Tanzania Milioni 214.3 Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Kivutio cha Utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru

    YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro. Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023. Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
  19. JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

    Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma. Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
  20. JamiiForums Tanzania Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe imeanza

    Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe hadi Kibamba ndani ya Dar es Salaam umeanza kwa siku kadhaa sasa, hatua iliyofikiwa ni kumwaga kifusi na kushindilia, pia mashimo ambayo yalikuwepo awali yanasawazishwa Upande wa Barabara ya Mbezi to Mpiji Magoe nayo imerekebishwa bado sehemu chache sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…