Mombasa hadi Arusha barabara sasa safiiii - Arusha-Holili-Taveta-Voi transit corridor

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,407
Marais wa mataifa ya EAC wameizindua hii barabara jana...

Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru Kenyatta on Friday officially opened the 42.4km Arusha Bypass, which is part of the regional Arusha-Holili-Taveta-Voi transit corridor that links Tanzania with Kenya.

Speaking at the launch at the Arusha State House, the leaders hailed the project as a major integration enabler, enhancing the movement of goods and people and boosting trade.

President Kenyatta said it would help ease traffic congestion in Arusha and further help connect East Africa.

“The connection between Arusha and Voi to Mombasa will ease the supply of agricultural produce such as maize, tomatoes and vegetables and will help fight poverty in our countries by improving the lives of the people. Infrastructure is the foundation of our integration,” he said.

“Infrastructure is critical in achieving our common objective of being a common market. That is why my administration in Kenya has been very keen to see the growth of infrastructure across the board,” President Kenyatta had told the EAC Summit on Thursday.

Infrastructure is critical in achieving our common objective of being a common market. That is why my administration in Kenya has been very keen to see the growth of infrastructure across the board,” President Kenyatta had told the EAC Summit on Thursday.
 
Safi sana. Tuendelee kujenga miundo mbinu.
 
Infrastructure is critical in achieving our common objective of being a common market. That is why my administration in Kenya has been very keen to see the growth of infrastructure across the board,” President Kenyatta had told the EAC Summit on Thursday.
Nilidhani wewe ndio umeandika hiki kizungu, kumbe unaquote tu? Ningeshangaa sana.
 
Hii barabara iliwahi kuzinduliwa huko nyuma na rais Kikwete kabla Magu hajaja na kuipiga pini kisa ipo ukanda wa kaskazini ambapo wanaishi watu aliokuwa anawachukia.
Tumshukuru rais Samia kwa kuitendea vyema pesa ya kodi zetu. Maana hata kama ikiwa ni mkopo ama wa world bank au vyovyote walipaji ni sisi raia.
Maendeleo haya chama.
 
Cc Geza Ulole
 
Kwa hivyo mradi huu ulikuwa umesitishwa? Alitoa sababu gani ya kuisitisha?
 
Acha hizo habari,Kwann mnambania Rostam Azizi kuwekeza Taifa Gas apo Mombasa?nn kipo nyuma ya pazia?mnataka Mama Samia awabadilikie?acheni upuuzi

Kenya huwa hatuna huo ujinga wenu wa kuzuia uwekezaji kisa chuki, lazima kuna kitu huyo mhindi hajakidhi, tunawahitaji sana wawekezaji.
 
Nimeshangaa kuona ukabila uliokoleza kwenye huo uzi. Sikujua hawa watu ni wakabila hivi?
Ww na huyo mwenzako MK ni wanafki sijapata kuona, Yani swala la ukabila hamfai hata kulizungumzia watu kama nyinyi, Bora hata Waganda ndio wangetusema lakini sio nyie

Sisi sana sana hayo mambo yanaishia mtandaoni tu, lakini nyie hadi mtaani
 
Kwa hivyo mradi huu ulikuwa umesitishwa? Alitoa sababu gani ya kuisitisha?
Achana na wehu wa Tz, mm iyo ndio road napita nikitokea moshi au on my way to moshi since 2018/2019 ilipokamilika. Sasa sijui anamaanisha nn ilipigwa pini na jpm.
 
Nimeshangaa kuona ukabila uliokoleza kwenye huo uzi. Sikujua hawa watu ni wakabila hivi?
Woi. Road inatumika since 2018. Achana na iyo maneno ya ukabila unaambiwa na mwehu mk254.
Hakuna ukabila huku, upo huko kwenu. We are far away from it.
 
Achana na wehu wa Tz, mm iyo ndio road napita nikitokea moshi au on my way to moshi since 2018/2019 ilipokamilika. Sasa sijui anamaanisha nn ilipigwa pini na jpm.
Barabara ya EAC kutoka Arusha-Moshi-Taveta-Voi ilikamilika lini mpaka wewe uwe unaipita?

Kwa Tanzania hiyo barabara awamu ya kwanza ilianza kujengwa kipindi cha Kikwete kutokea Arusha maeneo ya Airport ya Kisongo mpaka Usa (kwa upande mmoja) na Sakina mpaka Tengeru (kwa upande mwingine), alipoingia Magufuli akaipiga chini mazima na hakutaka kuizungumzia kabisa (watu wengine wanahisi kwa sababu itakuwa na mafanikio kwa watu wa Kaskazini mwa Tanzania na wakenya, jamii ambazo zilikuwa threat kwa Magufuli). Sasa ndio Mama Samia kaifufua tena.
 
Porojo mtupu!
 
Tenda yenyewe hii hapa😁👇 halafu mtu anakuja kutubania pua humu na porojo za Kikwete sijui Kaskazini.

Jamani,Humu tupo watu wazima na wenye akili timamu hivyo muwe mnazingatia hilo kabla hamjaleta pumba zenu.
 
Back
Top Bottom