barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara unaoendelea maeneo mengi ya Dar kwa wakati mmoja, Je, ilifanyika tathmini ya awali kubaini athari?

    Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida. Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
  3. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani aeleza Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga – Nyabiyonza – Masheli unavyonufaisha wananchi Karagwe

    Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo korofi. Akiongea katika mahojiano maalum, Diwani wa Kata ya Nyakahanga, Charles Beichumila ameeleza...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ikimuonesha mwanamke akiendesha pikipiki kwenye barabara ya zege isiyokauka ni halisi

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayomuonesha mwanamke anayeendesha pikipiki katika barabara inayoendelea kujengwa kwa zege kama ni halisi au imetengenezwa.
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kijiji cha Andikoni (Pemba) wabeba Wagonjwa begani kutokana na ubovu wa Barabara

    Wananchi wa Kijiji cha Andikoni, Shehia Chumbageni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba walazimika kuwabeba wagonjwa wakiwa kwenye vitanda katika mabega kutokana ubovu wa barabara ili kupata Huduma za Afya. Wakizungumza na HalisiMediaOnline, baadhi ya Wananchi wamesema wanapitia wakati...
  6. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza. Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
  7. Baflo

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara

    Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ==== Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
  9. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi huo ili kuona maendeleo yake. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 112.3, ni miongoni mwa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini ushukuru au uombe kujengewa Barabara, Shule au Kisima na Serikali kama kodi na Rasilimali zenu ndo zinazozalisha hiyo hela?

    Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo wananchi wanalazimika kuandika barua, kuomba kwa wanasiasa au hata kuandamana ili kupata huduma za msingi...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
  13. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara ya Mwandege-Mkuranga!

    Habari wanajukwaa. Leo nimekuja mbele yenu kuleta mada ihusiyo ubovu wa Barabara ya mwandege-mkuranga. Barabara hii ni muhimu kwa mikoa ya kusini kutoka Dar. Kwa kweli barabara hii imejaaa makorongo na mabonde( tunaweza hata kufugia samaki). Kadhia tunayopata wasafiri wa njia hiyo ni kubwa...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Mbezi) kuna kero ya foleni na hii sio kwa leo tu

    Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na tumekaa hapa kwa zaidi ya saa moja sasa. Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila...
  15. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miundombinu barabara yarahisisha usafiri kwa wananchi Mtumba

    Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo. Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  18. N

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kenyatta (Mwanza–Shinyanga) imekuwa changamoto

    Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo. Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama Ile tena katika Jiji la pili kwa ukubwa. Haina hadhi hata ya kuwa barabara ya mtaani tu. Kama Kuna mtu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli barabara pana zipo baadhi ya maeneo tu lakini kuanzia Njombe hadi Manispaa ya Songea ni shida

    Ukipita barabara hiyo hupati utulivu wa safari barabara haijatulia yani chombo chako cha usafiari hakitatulia kwakuwa barabara si smooth halafu nyembamba.Hali hii inaweza kupelekea kuasababisha ajali za magari au hata waenda kwa miguu,na maeneo ya madaraja yapanuliwe.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Barabara ya njia nne (Bukoba) yenye urefu wa Kilometa 1.6 iliyoanza kujengwa 2023 kukamilika Novemba 2025

    Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Kagera, Mhandisi Ntuli amesema kwamba ukamilishaji wa ujenzi wa Barabara njia Nne Bukoba kutoka Rwamishenye hadi Makutano ya barabara ya stendi ya mabasi Mkoani Kagera unatarajiwa kukamilika Mwezi November 15/2025. Akizungumza kuhusu maendeleo ya...
Back
Top Bottom