Bando (Burmese: ဗန်တို, pronounced [bàɰ̃dò]) is a defensive unarmed martial art from Myanmar. Bando is sometimes mistakenly used as a generic word for all Burmese martial arts, but it is only one martial art; Burmese fighting systems collectively are referred to as thaing.
Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa...
Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia.
TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
Habari hapa jamani! Nimewaza aise nadhani imefika wakati sasa mitandao(internet) iwe moja ya mahitaji muhimu ya binadamu kwasababu:-
kuna muda mtu ukikosa bando mambo hayaendi kabisa that’s vivid ni kama kuna kuwa na kitu unakuwa umekosa 😅😅 same kama ukiwa umekosa kula vile na hivi ambavyo...
Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA.
=========
Ameandika Muigizaji Batuli
Hivi Kuna Mtu Mwingine...
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya?
Bando zinayeyuka kama barafu.
Leo nimetoa shilling 35,000 kununua bando la internet Vodacom nikapata gb 25, hii hela inabidi izalishee hela nyingine kwa kupitia mtandao, nitaletaa mrejesho hapa
Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi
Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili
Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii?
TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
INFORMATION IS POWER
Miaka yote mkoloni ametumia udhaifu wa information kuwatawala waafrika na viongozi wa kiafrika bila kujua wameingia kwenye mtego wa mabeberu kwa kuwaminya wananchi wao taarifa.
Tangu Uhuru africa tumebaki nyuma kwa kukosa vitabu vyenye ubora kulinganisha na wenzetu wazungu...
Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo.
Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha.
Na unakuta...
Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie.
Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
Hawa jamaa niliwakimbiaga sababu ya speed ya kobe baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko na halotel leo nikasema nikachungulie kama lile bando pendwa la usiku la kudownload movies, vitabu, softwares bado lipo, ilikuwaga 10 gb kwa 1,500 lahaula nimekuta lipo la 500 unapata mb 375
Hkayamungu kwa...
Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu
Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk.
Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
Tangu nikiwa mdogo napenda sana comedy za Kenya nakumbuka nilikuwa naenda library huko Arusha kukodisha tape za Vitimbi kina masakuu wali zo dub KBC
Hapa katikati nikawa mshabiki mkubwa wa churchil show na Eric Omondi ila last week nimekuja kumjua jamaa anaitwa Terrence creative aisee hands up...
Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania,
"Hakuna kama Samia"
Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita.
Bei ya juu ya...
Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi.
Nilipomsikia Mh Mwigulu kuwa wameagizwa na Mama kuangalia upya Tozo za miamala kuwa zinatia shaka ghafla nimekumbuka suala la Bando za data kupunguzwa kipindi kile na Mh Ndugulile. Zilipopunguzwa ziliibuka sarakasi nyingi na maneno yakawa ni mengi. Hatimaye Mama Samia akaagiza zirudishwe na...
Kuanzia kesho vijana wasikose bando.
Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.
Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.
Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.
mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.