bando

Bando (Burmese: ဗန်တို, pronounced [bàɰ̃dò]) is a defensive unarmed martial art from Myanmar. Bando is sometimes mistakenly used as a generic word for all Burmese martial arts, but it is only one martial art; Burmese fighting systems collectively are referred to as thaing.

View More On Wikipedia.org
  1. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
  2. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Tigo Bussiness waboresha bando zao, ujazo mkubwa, gharama nafuu

    Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo. DATA ONLY 15K......15GB 30K......35GB 40K.......48GB 60K.......72GB 100k........120GB COMBO 15K........10GB + dakika 400 30K........25GB +Dakika 1000 40K.......35GB + Dakika 2000 60K........55GB + Dakika 3000 100K......100GB...
  3. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi nini kwelii 2PAC bando anaishi au?

    Msanii 2pac aonekana Malaysia
  4. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania TTCL bando bure?

    Wale wa slope nasikia wenye ttcl wanaseleleka bure now, hali ikoje huko?
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Gharama za Bando la internet ziko juu na linaisha mapema sana

    Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile. Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo. Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana. Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando. Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
  7. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kununua bando kwa sasa ni hasara iliyowazi

    Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza...
  8. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Bando za Intaneti kuangusha Serikali ya CCM

    Kilio cha Wananchi kimepuuzwa na SERIKALI. Kwa Hali ilivyo ni wazi kwamba unyonyaji huu unabaraka za mamlaka za juu. Sasa imekua ni mashindano ya kukandakiza wanyonge. Baada ya kauli ya waziri kuwa Bando za internet ni huruma ya ziada, Sasa Makampuni uameshusha viwango zaidi. Ni kama wamepewa...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

    Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla. Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania 3G baadhi ya maeneo haikamati, 4G tiamaji tiamaji, 5G je, itasimama? Gharama za bando je?

    Mtandao wa Vodacom umezindua huduma ya intanenti ya kasi kubwa ya 5G mapema leo 1/9/2022. Sasa kama kuna baadhi ya maeneo 3G tu haikamati hii, 4G kusumbua kwenye maeno mengi, hii 5G italeta tofauti yoyote? Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie...
  12. Dabil

    JamiiForums Tanzania Kujiunga bando kwa vocha na Halopesa kunatofautiana kasi ya kuisha

    Sijui kama kuna mtu ameona hili kwa halotel na Tigo, ukijiunga MB kwa kuingiza vocha ni tofauti na kujiunga moja kwa moja kutoka halopesa au Tigo Pesa. Kujiunga kwa vocha mb zinakaa ila kujiunga kwa halopesa au tigo pesa mb zinaenda kwa kasi. Nikijiunga kwa vocha GB 1 naweza kukaa siku 3 hadi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Airtel mnaiba bando au ni nini?

    Jamani siku tatu hizi zilizopita naona kifurushi kwangu kinaisha sana, hapo zingatia sifui video wala kudownload chochote. Unakuta GB 2 zinaisha ndani ya lisaa, Seriously? Hivi ni kwangu tu au kwa wote? Whatsapp tu ndo natumia sana na nimedisable media zote kujidownload automatic
  14. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  15. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kinana please ongelea suala la bando, wewe pekeee ndiye unayesikilizwa nchi hii kwa sasa

    Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hii ndio inaitwa kuupiga mwingi, gharama za bando zimepanda tena

    Ndani ya kipindi kifupi gharama ya bando/bundle ya internet imepanda kwa zaidi ya 45%. Sisi watumiaji wa Vodacom tulikua tunanunua kifurushi cha Mwezi kwa shilingi elfu 50 na kupata GB 50. Haikukaa muda kifurushi kikapanda gharama badala ya kupata GB 50 tukapewa GB 37. Mwezi March/April...
  19. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

    Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data ni pamoja na instagram Yaani kumaliza GB MOJA NI KUGUSA! Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii. Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Bando limepanda kimyakimya

    Wakati watu wakijadili habari za nyongeza za mishahara bando limepanda bila kutangazwa. 20'000 ilikuwa unapata gb 30, mama alipoingia 20'000 unapata gb19 kuanzia juzi 20'000 unapata gb17. Tigo hao, provider wengine sijawajaribu. Mama anaupiga mwingi kwelikweli.
Back
Top Bottom