World Logistics Company
Member
- Jun 1, 2021
- 99
- 104
Hizi kesi zimekuwa nyingi sana siku hizi. Tumekuwa tukiona malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kupoteza mizigo yao bandarini. Inawezekanaje?
Imebidi tuje tuulize ili kusikia experience kutoka kwa wengine ambao washawahi kukutana na changamoto za mizigo yao bandarini.
Hivi kwanini baadhi ya mizigo na bidhaa hupotea au kukwama bandarini? Vipi huko Airport na Mipakani? Je, kuna uzembe, upigaji au ni changamoto ya TOZO za hapa na pale?
Madam Apai yupo hapa kupitia maoni yenu kwa niaba ya ofisi.
Apaisaria Godvice Mambali - Idara ya Mauzo na Utawala (Sales Executive & Administration)