bandari

  1. JamiiForums Tanzania Nomba kujuzwa hivi bandari ipo ndani ya mashirika ya muungano?

    Je bandari ya Dar es Salaam ipo ndani ya mashirika ya Umma ya muuungano? Kuuliza si ujinga
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2019, DP World iliripotiwa kutumia Rushwa ili kupata Udhibiti wa Bandari ya Walvis Namibia

    Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
  3. JamiiForums Tanzania Machi 2022, Kampuni tanzu ya P&O ya Uingereza inayomilikiwa na DP World ilifukuza wafanyakazi zaidi ya 800 wa Bandari

    Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

    Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna Sasa Leo anakuja mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2017, Fujairah iliamua kusitisha mkataba na DP World kuendesha Bandari yake

    Bandari ya Fujairah na DP World ambaye ni mmoja wa waendeshaji wakuu wa bandari duniani, walikubaliana na kusitisha Mkataba wa Uendeshaji uliosainiwa mwaka 2005 kwa lengo la kujenga, kuendesha na kuhamisha (BOT) kupanua na kuendeleza Kituo cha Kontena cha Fujairah bandarini kwa ajili ya kubeba...
  6. JamiiForums Tanzania Uzoefu: DP World iliyouziwa bandari ni wazuri kwenye kuhonga

    Hii inatoka maktaba. Wamewahi kushtakiwa kwa kuhonga. Labda tujue kwa sisi hapa ni nani ni nani wamenunuliwa
  7. JamiiForums Tanzania Mwaka 2012, Yemen ilitangaza kuwa inavunja Mkataba na DP World kuendesha Bandari ya Aden

    Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden. "Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jimbo la hai kilimanjaro: Mbunge wao kukosa ubunge 2025 kwa kukubali kuuzwa kwa Bandari ya Dar es Salaam

    Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam. Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai. Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye viwanda tulichemka, Bandari tuweze? Nionyesheni tulichowahi kubinafsisha tukapata faida!

    Watanzania tumerogwa siyo bule! Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
  10. JamiiForums Tanzania Maboresho ya Kuwapa Kinga TISS na Ukodishwaji wa Bandari ya Dar ni kifo Kwa Watanzania

    Hii thread ni fupi isichanganywe Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania. Kama itatokea TISS wakaungana kulinda maslahi ya WABIA hawa wapya na ikatokea Baadhi yetu tukapinga ina...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Suala la bandari tuwape muda wabunge

    Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu.. tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
  12. J

    JamiiForums Tanzania Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu. ============== Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari ya Dar es Salaam: Historia ya uchumi wetu unaonesha kuwa ubinafsishaji umekuza uchumi kuliko nationalization (utaifishaji)

    Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi. Nyerere kwa uelewa wake akataifisha vitega uchumi hivi na kuvifanya mali ya Serikali. Uchumi wa Tanzania ukayumba sana, viwanda...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ilani ipi ya Uchaguzi inatumika kutekeleza issue hii nyeti?

    Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi. Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

    Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…