bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wapi zitaenda Trilioni zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia — 2026/27? Kuna chochote cha kutarajia?

    Wakuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeomba jumla ya Shilingi za Kitanzania Trilioni 2.4 kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake kwa mwaka wa fedha 2026/27. Hii ni moja ya bajeti kubwa zaidi kati ya wizara zote nchini. Tutegemee nini? Fedha Zitatumikaje? Bajeti imegawanywa katika...
  2. JamiiForums Tanzania Bajeti ya maji yapanda hadi Tsh. Trilioni 1.12

    ONGEZEKO LA BAJETI YA WIZARA YA MAJI Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuipa kipaumbele sekta ya maji kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Maji kutoka Shilingi bilioni 898.28 mwaka 2025/2026 hadi kufikia Shilingi trilioni 1.12 mwaka 2026/2027, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu 2026/2027: Tusome katikati ya mistari

    "Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji Serikali. Zingatia: Tarehe mosi Aprili 2026, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI inaajiri bila kuwa na bajeti? Kilio cha stahiki ya ajira mpya Halmashauri ya Bumbuli kina mwaka sasa hakuna majibu

    Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi hakuna maelekezo yoyote. Inamaana TAMISEMI wanaajiri watu bila kutoa bajetI za watumishi na ukizingatia...
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2024 Land Cruiser LC 300 ZX A.K.A bajeti kuu iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 375M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA LAND CRUISER LC300 ZX Year: 2024 Engine: 3,300Cc Mileage: 20,000+ Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Exchange Possible ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Exchange Possible ✨Active Brake Assist...
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO wamepiga hela zaidi ya Bajeti ya WIZARA tano ya mwaka mzima

    Salaam, Makadirio ya karibu ya bajeti 2025/2026 Nchini Tanzania Tanzania ipo hivi. 1. Wizara ya Katiba na Sheria → ~ Tsh bilioni 80 2. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ni Tsh bilioni 120 3. Wizara ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA ni Tsh bilioni 150 4. Mambo ya Nje na Ushirikiano ni Tsh...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa 2025/2026 na mpango wa 2026/2027 kwa Kamati ya NUU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama (NUU) jijini Dodoma. Akiwasilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yapitisha Randama ya Bajeti Wizara ya Ujenzi 2026/2027, yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya TAMISEMI yapitisha Randama ya Bajeti ya OWM - TAMISEMI

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa Mwaka 2026/27 ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI)na kuelekeza itakapopitishwa na Bunge utekelezaji wake ukalenge kuwaletea...
  10. JamiiForums Tanzania Watalaam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti

    Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika. Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  12. JamiiForums Tanzania Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu, Si Lazima Bajeti Ya Nchi Iongezeke Kila Mwaka

    Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita. Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget isiyotegemea misaada, tunafikiria kuongeza matumizi. 2023/24: TZS 44.4 trillion 2024/25: TZS 49.36...
  15. JamiiForums Tanzania Zifahamu mbinu hizi muhimu wakati unapanga bajeti yako

    MBINU ZA KUPANGA BAJETI Namna matajiri wanavyopanga Bajeti zao kwanza Kufuatilia matumizi yao. Kuishi chini ya kipato chao. Kuepuka deni la matumizi. Kujilipa wao kwanza. Kuwekeza kwa muda mrefu. Kuweka malengo maalum. Kuotomati maamuzi ya kifedha . Kupunguza kodi. Kupitia upya bajeti yao mara...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  19. JamiiForums Tanzania Netflix yaridhia kuinunua Warner Bros kwa $ 72bn, inalipa deni lote la Taifa na bajeti ya mwaka mmoja juu

    Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali. Tume ya ushindani ikipitisha...
  20. JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…