Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23.
Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi.
Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione...
Tufuatilie hapa kwa taarifa zote kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko...
AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE
Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa)
Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022
Kumekuwa na malalamiko kuhusu Mikopo ya mara kwa mara ya Serikali lakini Rais Buhari ameendelea kusisitiza kiwango bado ni...
94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni.
Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na...
Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania.
Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika...
Hivi bajeti aliyosoma Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ni final au ipo subject to changes kulingana na Bunge litakavoijadili na je, kuna chance kuwa inaweza kubadilishwa?
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku.
NINA MAMBO MAWILI MKUU
1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.