NYOTA wa zamani wa Simba na Yanga anayekipiga Azam FC, Ibrahim Ajibu amesema bado kidogo tu wale waliokuwa wakimbeza wataanza kumpigia makofi. Fundi huyo wa mpira alisema anaamini kupewa nafasi ya kucheza kila mara ndani ya timu hiyo mpya kwake, atafanya vizuri zaidi na kumsaidia kufikia malengo...