bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana. Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+ Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake. Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
  2. Ni kwanini wazee waliozaliwa miaka ya 1950-1960 bado wana mambo ya kikoloni hadi leo

    Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya 1. Kuchaguliana wachumba 2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita 3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere 4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni...
  3. M

    Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

    Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
  4. Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  5. M

    Baada ya Sabaya kuachiwa Huru nashauri 'mnaoshadadia' kutwa kuwa Makonda nae akamatwe achaneni nalo kwani 'System' bado inawahitaji na inawakubali

    Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
  6. Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart. Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
  7. Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  8. Y

    Kwa mara nyingine Dimba la Santiago Bernabeu leo moto utawaka REAL MADRID vs MANCHESTER CITY nani kucheza fainali?

    Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
  9. B

    Lile Jambo letu bado lipo, mkae kwa kutulia

    Mtajua, hamjua
  10. K

    Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

    Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa...
  11. Edgar Mkosamali: Upotevu wa Mapato na Utoroshwaji wa Madini Bado Tatizo Sugu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
  12. M

    Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  13. Ukatili dhidi ya Wanawake nchini Tanzania bado ni tatizo kubwa

    Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini. Kwa...
  14. Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

    Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila...
  15. Wanaojali, na wakarimu bado wapo kwenye ulimwengu huu uliojaa wenye chuki, na wabinafsi

    Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
  16. I

    Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa. Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye...
  17. Ukatili wa kijinsia Arusha bado upo juu, wasichana ni waathirika wakubwa

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo. Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
  18. Je, bado GPA kali ina msaada?

    Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira. Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni. Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0. Nawasilisha
  19. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  20. Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…