Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,455
108,584
Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious kama ya America ya Kusini au Ulaya (hasa ile ya Mashariki) lakini siyo kwa Bara letu la Afrika kwani Mwafrika hajawahi Kujitambua na kuwa na Malengo ya Kimantiki juu ya Jambo fulani la Maendeleo / Kimaendeleo.

Mapovu ya Jazba juu yangu rukhsa.
 
Hao hao WEUSI wanaotamba kwenye nchi za Ulaya, wakizichezea timu zao za asili, si lolote si chochote! Inawezekana tumesha athiriwa na UTUMWA, kiasi kwamba tukiwatumikia WAZUNGU, tunajituma sana, tofauti na tukiwa kwenye KAZI ZETU WENYEWE!
Kwangu, kwa Afrika, hata hizo nafasi tano naona ni nyingi sana!
 
Kwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast

Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa
South Africa hawana team mkuu, bora uweke Zambia tu

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
H
Ipo siku Africa tutakuja kunyanyua Hilo kombe,Ni suala la muda tu
Halafu itakua Mara kwa mara
 
Kwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast

Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa
Weka DRCongo towa south
 
Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious kama ya America ya Kusini au Ulaya (hasa ile ya Mashariki) lakini siyo kwa Bara letu la Afrika kwani Mwafrika hajawahi Kujitambua na kuwa na Malengo ya Kimantiki juu ya Jambo fulani la Maendeleo / Kimaendeleo.

Mapovu ya Jazba juu yangu rukhsa.
Bro sio kulaanika n8 mipango tu na matum8zi ya raslimali vizuri
 
Hapa Sasa Njia yetu Taifa Stars weldi cup nyeupeee! Timu kumi hatukosi hata moja! Hii ni heshima kwa Africa, kile Morocco wameweza sisi hatuwezi kushindwa!

Mbinu ni kuwapa uraia Prof Nabi, Djigui Diarra, Mayele, Chama , Musonda na Dube.

Source?
 
Kwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast

Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa
Na bado hatutaendaaa,
 
Back
Top Bottom