NATO wametoa tamko kuwa kama ikitokea Russia akalipua kituo cha nyuklia ,basi ajue amevunja kifungu namba 5 cha NATO.
Hivyo NATO itachukulia jambo hilo kama direct provoked ,na linaashiria kuwalenga wanachama wa NATO.
Hivyo italazimu NATO kuingililia direct,hapa sasa ndio patamu maana NATO...