Yusuph Bakhresa amesema bado Mayele na Diara amalize kazi

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,694
5,466
Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.

Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota Feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa Yanga sc, Mayele pamoja na diara.

Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo nyota hao watatua azam fc dirisha hili la usajili.

FDE273FE-1BD0-4B4A-B4C8-D0C42FED6C1B.jpeg
 
Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.

Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa yanga sc, mayele pamoja na diara.

Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo nyota hao watatua azam fc dirisha hili la usajili.

View attachment 2650241
Hana akili bila shaka. Na ashukuru hata kumpata huyo mnywa urojo mwenzake.
 
Akiona vyaelea ajue vimeundwa.
Hiyo ni kazi nzuri ya professeri NABI.
Asitegemee akiwachukua ndio watakuwa Kama walivyo.
Kuperform kwa mchezaji Kuna factor nyingi.
Amechukua wangapi kutoka Yanga wakifika huko wanakua wa kawaida.
Wakati wachezaji wao wakitoka kwenda Simba au Yanga wanakua assets.
 
Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.

Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa yanga sc, mayele pamoja na diara.

Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo nyota hao watatua azam fc dirisha hili la usajili.

View attachment 2650241
hizo hela wangeendelea saidia yatima tu,japo zao ila wanapoteza tu hela na hakuna wapatalo kwenye huo mpira
 
Huyo Nabi umesema wewe, nmesema watafute coach wa kudumu Nabi bila kuvumiliwa hakuna mtu angejua ubora wake unataka kuniambia katika makocha sita waliopita Azam ndani ya misimu miwili hakuna mwenye uwezo wa Nabi?
Kwa hiyo wewe uliamini Al Ahly walivyomsajili Miquoson kulikuwa hakuna mchezaji yeyote pale Al Ahly mwenye uwezo wa Miquoson?
 
Back
Top Bottom