Habari wakuu,
Bila mengi, moja kwa moja naenda kwenye mada.
Ukiangalia kwa umakini, viongozi wetu wakubwa wanaoindesha serikali kwa wakati huu, wengi wao ni watu waliozaliwa miaka ya 1960's. Wapo mpaka wa 1950's huko....na wachache sana ni wa 1970's...hadi kufikia 1980's ni wa kubahatisha...