bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanatisha kuandamana bado wapo online wanachat, wamewasaliti M029

    Si ajabu kwan mara kadhaa watu wenye akili walionya kuhusu hawa wanaoanzisha maadamano kwamba wenyewe hawatokagi na kwel tumeshuhudia bado wako online mpaka sasa wengine hawataki kuoga asubui hivo basi ewe mtanzania kamwe usifuate mkumbo wa hawa wanaharakati wenye visukari
  2. JamiiForums Tanzania CDF toa tamko bado mapema

    Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  5. JamiiForums Tanzania Bado mpaka sasa kamba za kushikia mtu zijapatikana au mnazo.

    Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
  6. JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

    Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba ya leo sidhani kama Balozi Polepole bado mzima

    Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka. Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake. Nimeumia…
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
  11. JamiiForums Tanzania Bado hamjasema. Vikao mnafanyia hemani?

  12. JamiiForums Tanzania Vita bado mbichi kuelekea DESEMBA

    Unavyozidi kuwashambulia wapigania haki ndivyo wanazidi kuongezeka.. Sikia dakika mbili hiii 👇🏾👇🏾
  13. JamiiForums Tanzania Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  15. JamiiForums Tanzania Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

    Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer. Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala. Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa. Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

    Makamanda Shalom! Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naona safari hii hakuna vitisho vya dola au muda bado

    Kuko kimya, hakuna vitisho vya maandamano. Au muda bado?
  18. A

    JamiiForums Tanzania CCM bado wanafikiri dunia ya leo ni ile ya zamani

    Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi. Leo dunia imebadilika: Vijana wana uelewa...
  19. JamiiForums Tanzania Fungueni makanisa Maandamano yapo palepale. Bado siku 16 sunami ya D9

    Mshajua mmeyakanyaga mwajikosha! Hehee! Sasa zile maiti mtazirudisha lini? Polepole na yule mudude mtamludisha lini?. Nye Nye wabaya sana. Walahi mtalipia. Mwafikiri siye manyumbu wenyu. Na bado! Mwataka kunywa damu zetu. Na bado. Nye mwajua kuzaa siye wetu mwaua. Wetu nzi wenyu watoto wa...
  20. JamiiForums Tanzania McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…