Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika.
Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!
Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?
Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia uteuzi wa kutumika kwenye kundi la waovu?
Kukubali nafasi yoyote ya uteuzi katika haramu hii ni...
Sheikh Yahya Hussein, aliyekuwa mmoja wa wapiga ramli maarufu sana nchini Tanzania, Ingawa kauli zake hazikuwa sehemu ya tafiti rasmi za kisayansi wala siyo maandiko ya kiroho yaliyo katika vitabu vitakatifu, ziliwahi kuvutia hisia za watu wengi hasa alipokuwa akizungumzia masuala ya kisiasa kwa...
Ni vigumu sana kuua maelfu ya watu pasipo na sababu, hususan kwenye zama hizi, halafu utegemee dunia ikae kimya.
Sasa hivi dunia imeingiliana sana. Litokealo sehemu moja basi jua kuwa litawagusa tu na wengine waliopo sehemu zingine.
Ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa haina vyombo vya habari...
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya...
Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu.
Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha:
Kiinua mgongo ambacho...
Chiefs heshima kwenu...
1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe.
2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano.
3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu.
Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
Kosa la uhaini uhusisha nia, kujaribu, hata kutenda kitendo cha kutaka kuiangusha serikali. Sasa najiuliza na kushangaa. Ni serikali gani iliyokuwa 'ipinduliwe' wakati uchaguzi wa kuchagua watakaounda serikali na mihimili yake ndo walikuwa bado kuchaguliwa? Huu ni ujanja au uzwazwa wa watawala...
Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana.
Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika.
Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma.
Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
Tanzania
Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe
Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
Hili ndilo swali la DHARURA linalotakiwa kupata jibu haraka wakati huu kabla ya masaa 72 hayajatimia kama walivyo ahidi kabla ya zoezi la uchafuzi kuanza hapo Oktoba 29.
Hawa wanafanya kazi gani wakati uchafuzi ulizuiliwa na wananchi?
Kwa nini waruhusiwe kuendelea kutoa matokeo ya zoezi ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.