baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama wa pacha waliotenganishwa asimulia alivyoambiwa amezaa laana, adai baba mtu alimtelekeza

    Siku tatu sasa tangu pacha Rehema na Neema waliokuwa wameungana kufanyiwa upasuaji na kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), mama mzazi wa pacha hao, Amina Amos amesimulia visa na mikasa aliyokumbana nayo baada ya kujifungua pacha hao. "Niliambiwa nimezaa laana, nimeleta...
  2. JamiiForums Tanzania Account yenye jina la Baba wa Taifa yaibuka Twitter, lengo lake ni nini?

    Amani kwako ndg mdau. Kuna account naiona tweeter inaonekana haina hata wiki ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha kushangaza naona imelipiwa as promoted account. Sijaelewa ipo chini ya nani au imeanzishwa na kuendeshwa kwa makusudi gani? Kuna mdau humu anayefahamu malengo...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nitumie mbinu gani kuongea na baba aachane na mchepuko wake?

    Wakuu salaam, Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa. Mara ya mwisho mama kajaribu kumweleza mume wa huyo mchepuko kila kitu...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Elon Musk aliyebadili jinsia na kuwa binti, ataka kubadili jina kuepuka uhusiano na baba yake

    Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na uhusiano na baba yangu mzazi kwa njia yoyote ile, kwa umbo au muundo." Ombi la kubadilisha majina yake...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na Wanasiasa Wanaonunulika, Hawafai hata kuwa baba wa familia

    Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama tawala. Binafsi mimi huwa napata tabu sana kuwaamini wanasiasa kinachonishangaza mtu anahama na watu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Baraka Shamte aliyefukuzwa CCM mbona sio Mwarabu kama baba yake Mohamed Shamte?

    Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
  7. JamiiForums Tanzania Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

    Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa. Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Baba yake Barrack Obama alikuwa pandikizi la CIA

    'Baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na Muungano wa Sovieti usiingie Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kennedy Foundation ilikuwa ikitoa pesa walizo ziita za ‘msaada’...
  9. K

    JamiiForums Tanzania US: Mtoto wa miaka miwili amuua baba yake kwa kumtwanga risasi

    Inaweza kuonekana kama utani lakini hii imetokea juzi tu mtoto wa miaka miwili alimuua baba yake kwa kumfyatulia risasi kwa bahati mbaya Kuna madai kuwa baba na mama wa mtoto huyo walikuwa wametoka gerezani kwa parore siku si nyingi kwa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya hali inayoshangaza...
  10. JamiiForums Tanzania Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi. Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini. Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro. Asante sana Wakuu Wangu
  11. JamiiForums Tanzania Baba wa Taifa akemea udini

    BABA WA TAIFA AKIKEMEA UDINI Mjamaa wa kisasa anamnukuu Baba wa Taifa katika suala la udini msome hapo chini: - Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Ni kiongozi aliyepiga vita vikali kuhusu ubaguzi wa kidini au kikabila ndani ya taifa letu la Tanzania. - Baba wa Taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Baba aliyepoteza binti mauaji ya Watoto 19 kuishtaki kampuni ya silaha iliyotumika kuua

    Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

    FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule. Ndivyo dunia ya kibepari ilivyo sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una...
  14. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  15. JamiiForums Tanzania Musoma: Baba na mwana wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakamani Kuu Kanda ya Musoma kupitia Mahakama ya Wilaya Tarime Mkoani Mara imewahukumu baba na mtoto wake wa Kijiji cha Genkuru kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Waliohukumiwa ni Matinde Keranganyi (baba) na Mwita Matinde (mtoto) ambao walishtakiwa kwa kumpiga mawe...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  17. JamiiForums Tanzania Muda Mwingine Ni Bora kudeti na demu wa Kawaida sura ya Baba ili upate Muda mzuri wa kujenga Future Kama kijana

    Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora . Sura ya Baba hawana gharama Wako deep . katika mapenzi Hata akikupiga chini hakuna kuumia Hi itakusaidia kufocus vizuri...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

    Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori. Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha...
  19. JamiiForums Tanzania Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

    Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza. Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa. Daz...
  20. JamiiForums Tanzania Dunia tambala bovu! Mungu Baba nipe uvumilivu nitimize Ushuhuda

    Happy Sunday My Friends Mada yangu Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda. Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…