baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mama wa kambo anauza mali za baba

    Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai. Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  3. JamiiForums Tanzania Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii. Je, uchawa umewalipa...
  4. JamiiForums Tanzania Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea: Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba, Mtaa wa Kiburuni, Dar es Salaam na kuanza kuvunja sehemu ya nyumba, ikiwemo madirisha na milango...
  5. JamiiForums Tanzania Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
  6. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameukimbia Mtiti wa DP World, Baba Levo na Steve ndio Backup iliyobaki

    Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini. Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa Dr Samia Suluhu kuliko Wasomi wengi wa uvccm na Makada nguli. Baba levo nilimsikia juzi akiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
  8. JamiiForums Tanzania Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Baba, mtoto wako yuko huru kukueleza jambo lolote?

    Wakuu, Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza? Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

    Kwenu baba zetu maaskofu. Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo. Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wosia wa Baba

    Wanangu nawasalimu, Salamu ziwafikie, Niko hoi baba yenu, Naomba mlitambue, Ninalo jambo muhimu, Natamani mlijue, Nitaposhusha kalamu, ujumbe muusikie, Amani kitu muhimu,wanangu mnielewe, Aliyasema Mwalimu, Amani iendelee, Tusilete udhalimu, Amani ipotelee, Bora tutoe elimu, Amani isipotee...
  15. JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  16. JamiiForums Tanzania Sweta la baba yangu lenye historia ya maisha yangu

    Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati. Twende pamoja. Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997. Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa. Siku...
  17. JamiiForums Tanzania Kipindi nina miaka chini ya 7 ningesikia baba yangu kafariki ningefurahi sana!

    Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka. Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo. Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara...
  18. JamiiForums Tanzania Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

    Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua. Uzuri wife akawa amefaulu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Afya ya mtanzania mikononi mwa baba na mama ntilie

    Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…