baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Jicho la kijasusi: Watanzania tunasubiri kushiriki mazishi rasmi ya CHADEMA mwezi Januari 2025 baada ya msiba uliotokea mwezi huu wa Disemba 2024

    Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM. Kama ni mgonjwa naweza...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikosi baada ya kuachana

    Habarini, ipo hivi kuna demu nimeachana nae kama miezi miwili sasa, nimekua nilipatwa na Balaa na matatizo kila kukicha mpaka najiuliza ameniroga au nini? Niliachana nae sababu kuu ilikua akinilalamikia mambo kadhaa kama kutokujibu message nilikua namfokea saa zingine namwambia maneno ya chuki...
  3. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya marehemu mama kwa mwanae - siku tatu baada ya kuzikwa

    BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!! Mwanangu Mpendwa, Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini sasa nimeenda na baraka zangu. Chai ya asubuhi, chakula cha mchana na...
  4. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  6. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse

    Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango ulichopanga njia sahihi ni kumwambia wakala wa Forodha(Clearing Agent) afanye maombi (TRA) ya...
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  9. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lielewe hili baada ya tendo

    Baada ya kujamiiana, wanaume huwa wanataka kulala, wakati wanawake mara nyingi wanataka kuongea. Wanaume huonyesha hisia zao kali kwa kufanya mapenzi. Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wanaweza kusikiliza marafiki zao wa kiume kwa saa nyingi, lakini kwa takriban dakika sita inapokuja kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

    Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha. Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda? Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
  11. Mr Why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

    Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha Labda nianze kwa kujielezea kiasi, mimi ni baba wa watoto wawili wa kwanza ana miaka mitano wa pili miaka miwili...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  14. Bezecky

    JamiiForums Tanzania Mdude: Lissu, Heche, Lema ni wapinzani wa kweli Tanzania. Nilipokuwa Polisi Oysterbay baada ya mateso makali nikasikia mahabusu wanaimba Lissu! Lissu!

    𝐓𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐬𝐮, 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐇𝐞𝐜𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐋𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Makachu divers wahamia Dar baada ya kutimuliwa Zanziber

    Hawa jamaa Makachu divers wamejizolea sifa nyingi zanziber lakini ghafla serikali ya zanziber imesitisha huu mchezo. Ila nasikia wamehamia coco beach. Kabla ya kuruhusu huu mchezo ni bora kuangalia yaliyosababisha ukafungiwa zanziber yasijejitokeza na huku. Pili huu mchezo ni kama hatarishi...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini umeme unaendelea kukatika hata baada ya bwawa kubwa na gesi nyingi Tanzania?

    Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Baada ya uchaguzi CHADEMA itahitaji maridhiano yawezekana chini yake tu

    Nimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini ya uongozi wa Freeman. Kwa maneno rahisi fujo zote anazofanya sasa hadi siku ya uchaguzi...
  19. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yesu kuzaliwa kitovu chake kiliwekwa wapi?

    Kwanza heri ya krismasi kwenu. Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika. Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

    Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Back
Top Bottom