Aussems alifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
54,439
122,989

Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.

Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
 
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
Inawezekana wewe ni mtu mzima na msomi lakini shirikisha akili zako kisawasawa. Usipende kutumia trend kama njia ya kutaka kutoa hisia za kishabiki hautakua na na tofauti na wale wapiga debe au wakaa vijiweni na kuongea mambo bila facts.
 
Muhasibu akili huna. Hao SBS walipanga kikosi kigumu na bado walifungwa. Huyo kalaghabaho wako anasema kabisa eti kama kikosi kingepangwa basi Yanga angepoteza. Yan hilo dubwana linaonekana lina matokeo yake ila linaumia matokeo kuwa tofauti. Hisia za ushabiki zimetawala kuliko uhalisia
 
Inawezekana wewe ni mtu mzima na msomi lakini shirikisha akili zako kisawasawa. Usipende kutumia trend kama njia ya kutaka kutoa hisia za kishabiki hautakua na na tofauti na wale wapiga debe au wakaa vijiweni na kuongea mambo bila facts.
Wewe ndio hujashirikisha akili zako, ukizishirikisha vizuri zitakupa majibu. Upuuzi unaofanywa na Yanga kupanga matokeo haukubaliki
 
Wewe ndio hujashirikisha akili zako, ukizishirikisha vizuri zitakupa majibu. Upuuzi unaofanywa na Yanga kupanga matokeo haukubaliki
Leteni ushahidi wa huo upuuzi unaofanywa na Yanga. Ukiacha hisia zikuendeshe utaumia. Focus kubeba ubingwa usianze kutafuta huruma ikiwa utashindwa.
 
farukem20_1739893843825.jpeg
 
Mara ya mwisho Yanga imecheza mechi yake kwenye ardhi ya Singida ni lini? Bwana Fedha hataki wachezaji wa Yanga wasumbuke kwa hiyo anapeleka mechi maeneo rafiki. Aisee....
Hiyo ni kanuni kuwa Kwa msimu timu inaweza kupanga uwanja wake wa nyumbani Kwa michezo miwili

Kwaiyo wewe hutaki SBS watumie hii kanuni

Mbona KMC, Fountain Gate wanatumiaga na hakuna maneno
 
Back
Top Bottom