baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hakuna refund baada ya mahusiano kufika mwisho

    Sikiliza dogo, hakuna mahusiano ya bure kwa mwanaume. Mapenzi yanagharimu muda, nguvu na hela, na hautarudishiwa chochote pale mahusiano yatakapofika tamati. Mapenzi yakiisha hautarudishiwa gharama zako. Hautapewa hata shukrani tu ya kuambiwa "asante". Sasa kama usipokua mbinafsi wa muda na...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Samia baada ya kuupiga mwingi sasa anacheza nje ya Uwanja kabisa

    Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu. Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
  4. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
  5. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man Utd wamekasirika baada ya Sir Jim Ratcliffe kufanya uamuzi wa ghafla siku chache tu baada ya kupoteza fainali ya Europa League.

    Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
  6. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea baada ya kusoma thread hii.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza kusoma comments za wadau😄 Sasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi njiani...
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

    Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mahakama iangalie jinsi watuhumiwa wanavyo-behave kabla, wakati na baada ya mashauri yao. Leo Mahakama imevuna aibu kesi ya Lissu

    Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu. Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

    Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni timu gani ilipindua meza baada ya mechi ya kwanza kufungwa bila hata on target?

    Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nijulishe, baada ya dramacool kufunga site zao, wapi tena naweza kudownload koreandrama for free?

    Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

    Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 arudi CHADEMA baada ya kujivua uanachama, asema kelele za watu ndizo zilimuondoa

    Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho. Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka...
  17. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  18. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hamas hali ni tete baada ya Operation Gideon -Yasema itaachia nusu ya Mateka vita isimame kwa Miezi miwili washibe kwanza njaa mbaya sana. Washaona

    Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita. Hamas...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  20. Lambo jini

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
Back
Top Bottom