baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya Simba SC Kuchemka kwa Mbeya City FC leo tegemeeni yafuatayo ili kuwazuga mashabiki wa Msimbazi

    Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili. Hivyo basi GENTAMYCINE natabiri kuanzia kesho Alhamisi ili kutuzuga wana Simba SC (Mbumbumbu Ngada...
  2. Baada ya baba kufariki, watoto wa mke mdogo wanataka mali, tufanyeje?

    Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake. Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi. Muda si mrefu mzee naye kafariki baada ya kusumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu. Tumefanya msiba na...
  3. Polisi: Silaha haramu 6,208 zimeteketezwa baada ya kusalimishwa kwa hiari

    Jeshi la Polisi nchini limeteketeza silaha haramu 6,208 ambazo zilikusanywa wakati wa kampeni maalum ya wananchi kusalimisha silaha hizo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuongeza nguvu kudhibiti uingizaji silaha haramu ili kusaidia...
  4. Itachukua muda watu kugundua maafa ya wapiganaji huko Msumbiji baada ya kuunda vioja zubaishi vingi nchini

    Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea...
  5. M

    Utamu wa kuishinda Argentina, Saudi Arabia yaitangaza kesho kuwa siku ya mapumziko kuwapa nafasi wananchi kusherehekea ushindi!

    Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia! Sipati picha kama...
  6. S

    Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  7. SI KWELI Nywele na kucha za mtu huendelea kukua hata baada ya kufariki

    Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu. Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya binadamu yanayoibuliwa kila kukicha. Baada ya kufariki, sayansi inasema kuwa ukuaji wa kiumbehai...
  8. Ulishawahi juta Mara baada ya Kutoa msaada?Tukutane hapa

    Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia. Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
  9. Nansio-Ukerewe: Mtoto aganda Mkono Hewani baada ya Kumpiga Mbwa na Jiwe

    Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda. Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
  10. Kuna Faida Katika Kuamini Uwepo wa Uzima Baada ya Kifo Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndu

    Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndugu yake. Wengine hudiriki hata kujikana wao wenyewe kuwa hawawezi kuishi pasipo wapendwa wao waliofariki huchukua maamuzi magumu kwa kujiua wakiamini kuwa watakutana nao katika maisha baada ya kifo...
  11. Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

    Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
  12. Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

    Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata. Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana...
  13. Tujiandae kisaikolojia upo uwezekano mkubwa wa mafuta ya diseli kupanda bei baada ya Saudi arabia kutangaza kukaribia kuishiwa mafuta

    “Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry starts asking for more jet fuel, you will erode this spare capacity.” Nasser warns that oil prices...
  14. Afisa Mtendaji afungwa miaka 2 na kutakiwa kurejesha Tsh. Mil 35.7 baada kifungo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo. Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
  15. Baada ya kupigwa mapambano matatu mfululizo, Israel Adesanya aomba warudiane (rematch) kwa mara ya nne

    Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
  16. Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  17. Baada ya Kenya kupeleka askari wake DRC chini ya mwavuli wa EAC. Je, Rwanda na Uganda watapeleka askari wao?

    Habari wakuu? Natumaini wengi wetu tumeona taarifa juu ya serikali ya Kenya kupeleka askari wake kwaajili ya kupambana na waasi wa M23 pamoja na vikundi vingine pale mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambapo askari hao wamepelekwa kama askari wa jumuiya ya Afrika mashariki ukiachana...
  18. Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  19. L

    Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
  20. Je, wana Yanga SC baada ya Kufuzu hatua ya makundi CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la 'Losers'?

    "Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara. Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…