azam

  1. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya wa Azam.

    Hapa Azam wameupiga mwingi. Sio kwa gari hizo. Aisee......!
  3. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Azam TV

    Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija. Asante
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  5. Dabil

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

    Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba? Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3, Azam 1 Kagera Sugar 0 Azam 2 Singida Big Star 1 Yanga 0 Azam 1. Mechi za Simba Pamba 0 Simba 1 Simba 4 KMC 0 Mashujaa 0 Simba 1 Azam mechi 3...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Utuaji ndege wasimamisha mechi ya Azam na Dodoma jiji

    Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira. Hii imekaaje kisheria?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Azam Ferry huu uhuni uliiofanyika sio mzuri kabisa, kataeni wateja kabla ya kukata tiketi

    Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao Mpaka baadae...
  8. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Azam ya Rachid Taoussi inaweza wa-surprise sana Watanzania

    Najua wengi Huwa tupo busy na simba na yanga Yanga wapo ovyo saivi ata kesho akipoteza na namungo sio surprise Simba hawaeleweki wanacheza Nini infact wachezaji wenye uhakika wa number ni CAMARA na CHASAMBI 😎 Ila Azam ukiwaangalia wanakimbiza mwizi kimya kimya tu Hapo bin Zayed hajacheza...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Azam TV rekebisheni muonekano wa mwanga kwenye mechi zinazochezwa kwa Mkapa kupitia TV

    Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
  10. Adilinanduguze2

    JamiiForums Tanzania Departure Lounge Azam Marine Haziko Sawa

    Wana JF Jana nilitoka Dar to Znz na leo natoka Znz kuja Dar nikitumia boat za Azam Boat ziko excellent, lakini departure lounge haziko sawa. both Dar na Zanzibar hakuna utaratibu mzuri Kwa mfano kwa upande wa Dar yule dada anaefanya announcement anasistiza abiria wakae kwenye siti wasubiri...
  11. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

    Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe. Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake kuona matukio ya kiibada vzrii. Siku hiyo kulikuwa na ubatizo wa watoto kanisani. Padri akaanza...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Feisal Salum amevunja mkataba wake na Azam Football Club

    Nimejongea JamiiCheck kwa mara nyingine, tafadhali naomba kupata uhalisi wa barua hii kama ni ya kweli kwamba Fei Toto amevunja mkataba na Azam FC
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Azam Complex watoa clip ya aliyeziba camera ,mwamba huyu hapa.

    Mwamba huyu hapa
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

    Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

    Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga kwa big boss mzee wa aiskrim. Kwa sasa Vita imehamia kwa Hashim, maana kwa Ally, Dua zake zake za...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki ya Yanga sc hawautaki tena uwanja wa Azam complex- Chamazi! Wataka mechi zao zikachezwe KMC complex stadium

    Lilikuwa suala la muda tu baada ya Bundi mzee kuwika katika uwanja wa Chamazi, klabu namba moja kwa masuala ya ushirikina Tanzania. Daima mbele nyuma mwiko kuanza harakati za kuukimbia uwanja wao wa nyumbani ,Chamazi na kutaka kuja kuutumia uwanja wa KMC unaotumiwa na mahasimu wao wanaoongoza...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii ndo match yetu ya Mwisho kucheza Uwanja wa Azam. Hawa washenzi tutawakomoa

    Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa. Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa. Hawataki tuuandae uwanja...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
Back
Top Bottom