hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,000
- 9,981
Azam tv nilitegemea wao wangekuwa watu smart kuliko kampuni zingine zote but kwa sasa naona wao ndio wamekuwa worse kabisa
Nimelipa kifurushi tangu juzi kabla hakijaisha coz nilijua kinaisha jana, lkn mpaka leo hii pesa imekatwa na kisimbuzi hakionesha, hakuna taarifa yoyote, huduma kwa wateja namba zote hazipatikani mabosi wao simu hawapokei
Sasa jaman huu si utapeli na wizi?