azam

  1. Smt016

    JamiiForums Tanzania Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
  2. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

    Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii NB: Mtu ambae Azam imempa uongozi wa picha na video kwa Sasa ni anafeli kwa nyanja zote ukiangalia upandishaji wa picha na video...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
  4. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

    Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

    Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani. NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Azam TV yarudisha tena La Liga kuanzia msimu ujao

    Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kua Azam ile game aliuza

    Vipi Team turudiane tuanze kurudiana? 😂😂 Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga. Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂 Nawaza sana nilisema kwa ule mpira wa siku ile wa Azam..wachezaji wachuñguzwe na viongozi pia wa Azam wachunguzwe na TAKUKURU...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa azikutanisha TEMESA na Azam Marine uboreshaji Huduma za Vivuko

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kikao hicho...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yusuph dabo sio kocha atafikisha azam any where? my football review on azam match

    short clear 1. azam awawezi kutengeneza build up. in short ni through ball ndefu then inshallah. foward wapo one on one na 3 defenders every time. ni kama kichekesho. i still believe they got luck to win that yanga match. 2. wachezaji wa azam awajawa couched. honestly amna mipango ni...
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

    Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Azam na Simba unaua soka letu

    Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike. Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba. Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo. Azam aliwapa Ngasa Simba. Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu Moja ndio imeiua Azam leo wala si mbinu za Mgunda

    Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu tuangalie kitalaamu, unawezaje kuibadilisha timu ndani ya siku moja ukiwa na akina Balua, Chasambi halafu...
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania kitakachowaua Azam fc dhidi ya Simba sc (Mzizima Derby) ni hiki hapa

    Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya (1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike
  19. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Yahya Zaid ndio ataamua mechi ya Azam vs Simba

    Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake. Leo ikiwa ataanzishwa na akawa kwenye ubora wake kuna uhakika wa kuchangia magoli mawili kutoka kwake na kuliteka dimba. Mechi ya leo...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    #nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi. 20' Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana. Azam 0-0...
Back
Top Bottom