azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

    Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki. Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala. Azam...
  2. JamiiForums Tanzania Azam TV wanaonyesha mechi zote za Serie A kweli?

    Hivi ni kweli Azam TV wanaonyesha mechi zote za ligi wanazojinasibu kuonyesha? Jana nimeitafuta mechi kati ya Genoa na Fiorentina lakini cha ajabu japokuwa kwenye tangazo lao la mechi za Serie A jana ilikuwepo Azam Sports 3, muda wa mechi ikawekwa mechi ya ligi ya Kenya. Hii siyo mara ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 Azam TV wanadai kuwa fedha hizo hazijawafikia

    Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 kwa kiasi cha Sh28,000 kupitia Azam Pesa. Muamala unaonyesha kuwa malipo yamefanikiwa kikamilifu, lakini Azam TV wanadai kuwa fedha hizo hazijawafikia. Nilipowasiliana nao, niliambiwa nisubiri ndani ya saa 72 huku suala langu...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Muyungi Azam TV: Mkutano wa Nairobi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa...
  5. JamiiForums Tanzania Azam TV yaongeza channel mpya Azam Sports 5 HD

    Kampuni kubwa ya media East Africa Azam media wameongeza channel mpya ya mpira ya Azam sports 5 HD na kufanya wawe na jumla ya channel 10. Katika hizo channel 10, tisa ni HD na moja ni ya matangazo, hii inafanya iwe ni kampuni kubwa inayomilikiwa na wazawa Afrika nzima Haya ni mapinduzi...
  6. JamiiForums Tanzania Ile ilikuwa VAR au Azam Tv?!

    Tanzania utani ni mwingi sana. Otherwise mnisaidie kujua, kwenye mechi ya jana pale Amaan Stadium ile ni VAR au Azam Tv. Pembeni niliona wamefunga antena.
  7. JamiiForums Tanzania Azam tv naomba kesho mnioneshe takua uwanjani kuishihudia Simba na Yanga Inshaallah

    Wageni karibuni, ndugu zanguni poleni Kwa uchovu wa safari. Najua Kuna watu wametoka MIKOANI na kuunga kuja zenji asee your welcome my fellow tanzanians. Kesho takua nimetupia jezzy ya Brazil njano cheni silver shingoni, na bangle ya silver mkononi, kijana mweusi mwembaba mrefu, jezzy NYUMA...
  8. JamiiForums Tanzania KERO AZAM TV huduma kwa wateja kwa njia ya simu ni bomu jingine

    Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja. 1. NIMELIPIA TSH 28,000 LAKINI HUDUMA SIJAPATA KAMILI Jana nililipa TSh 28,000 kwa ajili ya kifurushi cha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  11. JamiiForums Tanzania Maktaba Yaalikwa AZAM TV

    1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi: "Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote". "Hakuna kitu kinaweza kuchukua nafasi ya kitabu". 2. Tofauti ya Kitabu na Teknolojia (Tablet) Anabainisha kuwa ingawa...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Azam TV

    Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from...
  13. JamiiForums Tanzania Asante sana Azam tv

    Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Azam TV kwa kutuonyeshe mechi zote za World Cup 2026

    Hatuna cha kuwapq Azam Tv, bali tunasema Asanteni sana kwa kutuwezesha kufuatilia mechi zote. Hakika mmewafanya watanzania na wananchi wote wa Afrika Mashariki na kati wanafurahia huduma ya Azam tv. Asanteni sana Azam.
  15. JamiiForums Tanzania Mdau; amehoji kwanini? Azam tv hawaonyeshi channels za mpira kifurushi cha 7,000 cha wiki

    Honla Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
  16. JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiingereza ni ngumu hata kwa Wasomi wetu, Azam TV wameajiri Wakenya na Waganda kwa ajili ya Kombe la Dunia

    AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza. Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally Mayai, Muro na wengineo wakichambua kwa manjonjo yote. Kule Azam Sports 4HD wapo akina Chiko Lawi...
  17. JamiiForums Tanzania Azam TV inawameza wengine

    Huku Mwanza DSTV NA STARTIMES wamefunga ofisi wamebakisha mawakala tu. Wamemezwa na Azam.
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

    Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:- "Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania. Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na...
  19. JamiiForums Tanzania Azam TV kwenye application sio poa

    Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
  20. JamiiForums Tanzania Azam TV: Utengenezaji wa Kipindi Cha Historia ya Mwalimu Nyerere Ndani ya Soko la Kariakoo

    https://youtu.be/mDEZOK2SBBM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…