azam fc

Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Beberu

    JamiiForums Tanzania Azam Fc Vs Yanga, 12/06/2023, Match ya kisasi, Ubabe na heshima

    Habari ya muda huu ndugu msomaji wa Jamiiforums, Baada ya kuwafunga Watoto wa tajiri namba moja hapa Tanzania (According to Forbes) kwa mabao 2-1, vijana wa tajiri asiependa kelele hapa mjini SSB Azam Fc walijihakikishia nafasi ya kucheza mchezo wa mwisho (Final) ya michuano inayodhaminiwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

    Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
  4. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Azam FC

    Nasemaaaje mpira kidogo magoli mengi kula bomu 💥 Kula bunduki ya kiarabu twiu twiuu
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nusu Fainali Azam FA, kama Azam fc wakiifunga Simba na Singinda Big Stars wataifunga Yanga pia

    Yanga haiwezi kuruhusu Simba wainue makwapa msimu huu.
  6. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

    Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu. WASIFU WAKE. Dabo amezaliwa kwenye mji wa...
  7. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Njia nyeupe kwa Florent Ibenge kutua Azam FC

    Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao. Hali hiyo imesababisha Kocha wa Al Hilal ya nchini humo kukimbia. Hii inafungua neema kwa klabu ya Azam FC...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe acha Kuhangaika kukua katika Usemaji kwa Kuichafua Simba SC

    Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7. Tunaokujua ndani nje ( hasa GENTAMYCINE kwakuwa tuko katika Tasnia Moja ) tunatambua kuwa Rafiki yako...
  9. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Azam inamtaka Ibenge

    Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mechi ya Gor Mahia Vs Azam FC yaahirishwa kutokana na vurugu za kisiasa

    Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tulinganishe hizi timu Azam fc vs vipes fc upande wa uwekezaji

    Vipers Azam
  12. M

    JamiiForums Tanzania Azam FC msipotufunga Simba SC Keshokutwa ( Jumanne ) nitawalaumu na nitawadharau sana

    Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

    GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga tofautisheni kati ya Azam na Azam FC

    Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal. Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

    Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi. Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

    Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kibwana Shomari kutimkia Azam Fc

    Klabu ya AZAM FC inahusishwa na kutaka kumsajili beki wa kulia Kibwana Shomari kutoka Yanga Sc. #sportsplanetupdates
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
Back
Top Bottom