awasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi chana awasili ofisini, awataka watumishi kutekeleza 4R za rais samia kwa vitendo

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Comoro

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa awasili wilayani Mafia kwa ziara ya kikazi

    BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, leo tarehe 22 Machi 2024. Bashungwa amepokelewa pia na Mbunge wa Mafia...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awasili Wilayani Mafia kwa Ziara ya Kikazi

    BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, leo tarehe 22 Machi 2024. Bashungwa amepokelewa pia na Mbunge wa Mafia...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia awasili Uswisi kuanza majukumu ya Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa majukumu yake ya Urais wa IPU. Dkt. Tulia amepokewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Dkt...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba awasili Uholanzi kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba 2023. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Makamba ataongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko Ngorongoro Mwezi septemba . Ameambatana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Chake .
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Zambia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amewasili Nchini Zambia kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku tatu kuanzia leo tarehe 23-25 October 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. Katika Ziara hiyo Rais Samia atashiriki Matukio mbalimbali...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

    Havana, Cuba Cumbre de Jefes de Estado y de Gobierno del Grupo de los 77 y China tarehe 14 September 2023 Mwandishi Na Pedro Rioseco https://m.youtube.com/watch?v=Lhxm7jatf5U Mh. Rais Dr. Hussein Mwinyi akiwa na balozi wa Tanzania nchini Cuba Mh. Humphrey Hesron Polepole uwanja wa ndege wa...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Viwanda na...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Lilongwe kwa ziara ya siku 3

    5 July 2023 Lilongwe, Malawi RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3 Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Malawi. Rais Samia anatazamiwa...
Back
Top Bottom