Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa inawashikilia. Mmoja Wapo Ni kaka yangu Rwegamalila.
Wakati wakina Rwegamalila wakiondoka gerezani...
Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo.
Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula.
Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali.
Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
Mtapima wenyewe. Kanuni ya maumbile ni moja tu. Kilo 1 ya karatasi ni sawa na Kilo 1 ya chuma.
Awamu ya Nne v/s Awamu ya Tano
i. Kuweka mazingira ya uwekezaji kuwa ya kuvutia v/s...
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika...
CHAMA CHA SAU CHAWASHAURI WANASIASA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA 6
Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti ya Umma (SAU ) Majalio Kyara akizungumza na Mtandao huu+ ofisini kwake Mgomeni Kagera jijini Dar es salaam.
NA MUSSA KHALID DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti...
Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka.
Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
Ndugu zanguni habari za asubuhi.
Ni shahiri dhahiri sasa tumeanza kuvuna tulichopanda.
Sio mkubwa wala mdogo. Mwenye cheo wala asiye na cheo, tajiri wala maskini sote tumeanza kuonja joto la Jiwe.
Hali ni tete. Sio polisi sio Raia. Sio mtuaji sio mteuliwa. Amani, Umoja, utulivu, heshima...
Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma.
Wote ni mashahid wa makato katili ya Bodi ya Mikopo wakati wa utawala wa Magufuli ambapo makato yaliongezwa kutoka asilimia 8...
Nikiitazama hii picha,
Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata tabu sana kufikiri walikuwa hatarini kiasi gani IKIWA Freeman Mbowe alikuwa ni Gaidi kweli.
Walinzi...
Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi.
Rais alovyoanza kuongoza hii nchi, kila mmoja aliona nia yake nzuri, dhamira yake nzuri, na kiukweli alikong'a...
Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5.
Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais.
Una maoni gani kwa wana CCM hao...
Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia.
Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole.
Miamala dosari! Bei za mafuta dosari! Mishahara ya watumishi dosari. Safari za Mkuu wa Nchi dosari! Ndege ya...
Chama changu Tawala hujinadi kukuza umoja wa Kitaifa lakini kwa awamu hizi mbili ninaona umoja huo unazidi kudidimia. Chama change kinajuhami kupita kiasi hata kwa kuumiza wengine. Hivi ni kweli kabisa tunajaribu kuwaaminisha watu kuwa Mbowe ni Gaidi! INAUMIZA SANA, pamoja na UCCM wangu.
Hivi...
Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu,
Je, serikali ina utaratibu huo?
Kama upo, procedures ni zipi?
Nawasilisha
"Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele
Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6.
Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...