awamu ya pili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

    Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Pili ya maandalizi ya kupokea umeme kutoka kwenye mitambo yakufua Umeme JNHPP kuingia Gridi ya Taifa Januari 13-21, 2023

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu awamu ya pili ya kuunganisha kituo kipya cha kupoza umeme cha 400kV Chalinze na njia ya msongo a kilovoti 220 inayoanzia Luguruni hadi Morogoro. Kazi hii itakapokamilika itaongeza uwezo wa kituo cha 400kV Chalinze kupokea Umeme...
  5. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uzinduzi Mradi wa TACTIC awamu ya pili Desemba 15, 2023

    Leo Desemba 15, 2023 kuna Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Usanifu wa Miradi ya Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) Kwa Miji 15 ya Kundi la Pili (Tier 2) itakayofanyika Mjini Bukoba Mkoani Kagera. Miji itakayotekeleza TACTIC Awamu ya Pili ni; Babati, Iringa, Bukoba, Bariadi...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
  8. Vsanja

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 au chuo Awamu ya pili 2022/2023

    Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inahitajika awamu ya pili ya ubinafsishaji wa uchumi wetu na kuufanya huru zaidi

    Historia ya uchumi wetu ni ndefu na isiyo na muendelezo mahususi.Tulitoka uchumi wa soko huria wakati wa uhuru tukaingia ujamaa mwaka 1967, tukarudi kwenye soko huria mwaka 1986 serikali ikiwa bado inashiriki kwa sehemu kubwa kufanya biashara na kushindana na sekta binafsi, mwishowe tukaja...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amemteua Rais mstaafu, Dkt. Kikwete kuwa mkuu wa chuo UDSM kwa kipindi kingine cha Miaka 6

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita. Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022. My take Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa...
Back
Top Bottom