kuna jamaa kaniuliza kuhusu software inayoweza kubadili video kuwa audio, huyu jamaa anajiita EINSTEIN112 kwa hiyo nimeona nifungue huu uzi hapa. Kwa kuwa kule kulikuwa na uzi unaohusu mambo mengine. Karibu we jamaa.
Ndugu,
Nafikiri kuna software kibao ziko sokoni kwa ajili ya kazi hiyo...