comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,688
- 17,960
Eti wadau
Hali Tete
Hali Tete
Vuta kwa simuEti wadau
Hali Tete
Kuna muamala uligomea juzi mpaka Leo haujafika na kwenye account umetokaVuta kwa simu
Acha iwe tu mnamaliza hizo hela zenu kidogo kwa malaya na aviator.Eti wadau
Hali Tete
Hata kwa simu ni shida.Vuta kwa simu
Jana nikalipia bill moja aisee ile nataka tu ku comfirm nikakumbuka nikishavuta mzigo wote upo vodabank PLCKatika vitu sijajaribu kipindi hiki ni kufanya miamala ya CRDB.. mpaka mtakaposema mambo fresh ndio nitafanya.
Mimi sibeti aiseee, Malaya wenyewe mara moja mojaAcha iwe tu mnamaliza hizo hela zenu kidogo kwa malaya na aviator.
Naskia kuna mwanamtandao kautekenya mfumoCRDB yaleta kizaa zaa tanzagizaa.
Mimi nmejifunza kwakweli niliwaamin Sana japo ni vihela vya mboga lakin ndio zinafanya tuishiKwa hili watu watajifunza. Pesa haitakiwi kukaa eneo 1.
Mimi nmevuta kwenye mpesa imekujaKatika vitu sijajaribu kipindi hiki ni kufanya miamala ya CRDB.. mpaka mtakaposema mambo fresh ndio nitafanya.
Nmejaribu kuileta mpesa imekujaHata kwa simu ni shida.
Watu wapo serious ujue!Acha iwe tu mnamaliza hizo hela zenu kidogo kwa malaya na aviator.
CRDB yaleta kizaa zaa tanzagizaa.
Pesa yenyewe kiduchu tatizo. Yaani bora ikae Mpesa.Kwa hili watu watajifunza. Pesa haitakiwi kukaa eneo 1.