Issue ya kuzuia wachezji wa 3 wa first eleven ya wa nigeria kumjeruhi afisa habari wao na kuzuia viongozi wao wawili haiwezi kupita hivi hivi sababu usitarajie kitenge,priva,mwanaspoti waripoti.
Kesho tarajia update ya kesi ya morriosn kitenge atakuambia kibuuuyu kinalia eeheee unasemaajeee...