Asubuhi tunapata update ya kesi ya Benard Morrison

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Issue ya kuzuia wachezji wa 3 wa first eleven ya wa nigeria kumjeruhi afisa habari wao na kuzuia viongozi wao wawili haiwezi kupita hivi hivi sababu usitarajie kitenge,priva,mwanaspoti waripoti.

Kesho tarajia update ya kesi ya morriosn kitenge atakuambia kibuuuyu kinalia eeheee unasemaajeee tunuuuuu hasaaan kibuuyu kinalii leo?

Hapooooohaongeleei utopoloo uliotolokea kwa mkapaaa....Mamamaaaaaaee watototototototoooo wadogoo nyiee msichezeee ngoma za wakubwaaaa
 
Wanasema wataenda kupindua meza Nigeria.
Yanga wametupa aibu kubwa taifa letu.
Biashara utd wameshinda away 1-0.
Azam wameshinda home 3-1.
Yanga wamefungwa home 0-1.
 
Naona status views wangu wanapungua kila baada ya ku update status mpya
 
Wanasema wataenda kupindua meza Nigeria.
Yanga wametupa aibu kubwa taifa letu.
Biashara utd wameshinda away 1-0.
Azam wameshinda home 3-1.
Yanga wamefungwa home 0-1.
Yanga imetuaibisha sana wapenda soka hasa upande wa Caf champion league wameanza vibaya
Timu bora hapa bongo saiz ni Simba na Azam, Yanga wao ni club kongwe tu bas hawana jipya upande wa kusakata soka
 
Back
Top Bottom